Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tunavyoiendea Katiba Mpya tujifunze kwa wenzetu waliotangulia kuzipata ili ya kwetu iwe bora zaidi Mfano hapo Kenya pamoja na Katiba Mpya bado polisi wamezuia Maandamano ya kesho sasa Wana...
7 Reactions
82 Replies
4K Views
Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM, Mzee Yusuph Makamba alipewa nafasi ya kuzungumza kwenye mkutano huo alisema kama kweli wote waliosimama na kumsifia Dkt. Samia Suluhu wameongea wakimaanisha basi...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mods msije kufuta uzi mtakua mmenikosea (mmetukosea) haki ya kikatiba na tutafika mahakamani ikibidi. Ujerumami wanadai kuongezewa mishahara Germany 'mega strike': Public transport network halted...
13 Reactions
52 Replies
2K Views
Nchi za kiafrika tunajifunza nini kwa mandamano haya? nijambo la kushangaza ya kwamba raisi aliyejinadi kushinda uchaguzi wa uraisi na kuthibitishwa na tume ya uchaguzi, yanayotokea leo yanatia...
1 Reactions
1 Replies
547 Views
Picha: Erick Kabendera Mtanzania aliyekimbia Nchi yake kutokana na kuzorota kwa usalama wake ,kulikochangiwa na watawala, Ndugu Erick Kabendera, ametoa maoni yake kwenye Tume ya haki jinai na...
21 Reactions
179 Replies
9K Views
Waziri wa Maji ameshiriki kikao cha Shukrani na kuagana na watumishi wa Uwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Umoja wa Mataifa, New York. Watumishi hao wameongozwa na Mhe. Balozi...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimegundua kuna mkanganyo unaoendelea kwa makusudi kwamba tuna Rais wa awamu ya 6 baada ya kifo cha wa awamu ya 5. Sio kweli, tunaye Rais wa 6 katika awamu ya 5 baada ya kifo cha Rais Magufuli na...
9 Reactions
17 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Kampuni ya Multchoice kutoka Tanzania na Afrika ya Kusini na Uganda kwa lengo...
0 Reactions
0 Replies
623 Views
Benki ya Dunia WB imeahidi kutoa Msaada wa dola milioni 300 sawa na Bilioni 700 Kwa Ajili ya sekta ya Kilimo. --- Benki ya Dunia imeahidi kutoa kiasi cha Dola za Marekani milioni 300 ambazo ni...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa report hapo chini, Tanzania inatarajia kukusanya T26 mwaka wa fedha 23/24 na zaid ya 40% ya makusanyo yote ya kodi na yasiyo ys kikodi ni kwa ajili ya mishahara, aslimia nyingine...
3 Reactions
2 Replies
440 Views
Jarida maarufu la biashara na linalofuatiliwa duniani kote la Business Insider lenye Makao Makuu yake Jijini New York, Marekani limeitaja Tanzania kuwa moja ya mataifa machache ulimwenguni...
1 Reactions
0 Replies
486 Views
Dhana ya Mkataba wa Utafutaji wa mafuta na Ugawanaji Mapato - wazo la nchi la utafutaji wa mafuta na gesi na mgawanyo wa mapato na makampuni kama sehemu ya biashara lilianzishwa kwenye miaka ya...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Tundu Lissu kwa maneno yake mwenyewe na kwa kujiamini alisema Magufuli ndiye aliyeagiza apigwe risasi kwa madai kuwa alikua msaliti bahati nzuri akapona. Lissu alidai tena aliponea kuuawa mara ya...
7 Reactions
76 Replies
4K Views
Hivi nyie CHADEMA ni nani aliye waroga? Anaandika Almaliki Mokiwa. Katika nchi yetu ya amani (Tanzania) tumebarikiwa kuwa na vyama vingi vya siasa, wakati ACT, CHAUMA, CUF na vyama vingine kama...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Moja ya nukuu ya Hayati Magufuli kuhusu madawa ya kulevya 'Ukiwagusa hawa waliokuwa wanapata fedha kwa madawa ya kulevya usitegemee kama watakupenda na mimi sitaki wanipende lakini vijana...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Uongozi wa Rais Samia Suluhu ambao umeimarisha utawala bora, utengamano wa kisiasa na utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo, umezidi kumpa mvuto kwa watanzania wa kada tofauti, ambao wengi...
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Uwazi katika Matumizi ya fedha za Serikali huleta Nidhamu na kuimarisha Utendaji wa Watumishi wa Umma katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku. Huziba mianya ya Wizi na Ufisadi, pia hutoa...
0 Reactions
0 Replies
939 Views
DC JOKATE: WANANCHI WASHIRIKISHWE KATIKA HATUA ZOTE KATIKA MIRADI YA MAENDELEO ILI KULETA UFANISI KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI Mkuu wa Wilaya ya Korogwe mhe Jokate Mwegelo amewataka wanaotekeleza...
1 Reactions
1 Replies
830 Views
Spika mstaafu wa Bunge Mama Makinda ameyasema haya huko Madaba
10 Reactions
33 Replies
2K Views
Hii tabia ya wakurugenzi na wakuu wa wilaya kuwataka watumishi wa umma ndani ya Halmashauri imetoka wapi? Yaani mkuu wa wilaya anaagiza wakuu wa idara kusimamia zoezi na kuomba majina ya...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Back
Top Bottom