Kwa maoni yangu, ujio wa Makamu wa Rais wa Marekani Tanzania kwa zaidi ya 75% inaweza kuwa ni JANGA kwa Tanzania.
(1) Kiongozi wa Marekani kufanya ziara ya siku 3 Tanzania, faida yake inaweza kuwa ni ndogo zaidi kuliko hasara.
(2) Bush aliyekuwa Rais wa Marekani wakati huo aliwahi kufanya ziara ya siku 4 hapa Nchini, tulichoambulia ni kupata Vyandarua vingi sana na viligawiwa karibu kwa kila mtu.
Matokeo yasiyo rasimi ya Vyandarua hivyo yalikuwa kama ifuatavyo:-
(a) Waliotumia Vyandarua vile walisadikiwa kupata matatizo ya kiafya.
(b) Baada ya Vyandarua vile, hata maeneo ambayo hayajawahi kuwa na mbu, saa hizi kuna mbu chungu mzima.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.