TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Mwakyembe Uliyejaa Mwbembwe, Nataka, sio Nikuombe, Maana uliahidi Mwenyewe na ahadi ni deni. Jiuzulu Ukawe mwendesha mashitaka dhidi ya Lowassa Mahakamani. Maana Lowassa alishasema yuko Tayari kwenda Mahakamani.
Jiuzulu,kama Ulivyoahidi Ukatetee upotevu wa fedha za Watanzania. Wewe si unasema ni mweli na Mzalendo? Jiuzulu la siyo Ukae Kimya!
Pili Kiasi fulani nakusifu kwa kumshushua mwana sesere wenu Josua Nassari. I never cared for him anatabia za Kiyuda yuda! Nashukuru kwa kuexpose kuwa alikamatwa na chupa ya pombe akitaka kungia nayo Bungeni.
Ila ili iwe fair niseme tu hakuna dhambi ya afadhali, Lakini wewe huoni bora mbunge mlevi kuliko Mbunge mtu mzima na Waziri lakini anahangaika na Machangudoa. Apa tena kuwa zikiletwa Picha Utajiuzu!