Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,739
Jana na Leo Dr Mwakyembe ana kazi ya kujinasua ufisadi wa mabehewa feki 274. baada ya kushambuliwa na wabunge vijana Halima Mdee&Jesca Kishoa
Hoja ambazo Mwakyembe anapaswa kujibu ni;
1. Ripoti ya PPRA imethibitisha kwamba mabehewa yalonunuliwa y alikuwa na uwezo Chini ya kiwango
2. Malipo ya mabehewa yalifanyika kwa 100% kabla mabehewa kuwasili kinyume cha sheria ya Manunuzi
3. Kampuni iliyopewa zabuni, Hindustan Engineering Ltd ya India haikufanyiwa uchunguzi kuhusu Rekodi na uwezo wake (due deligency).
4. Katika orodha ya tuhuma Ambazo pccb wametangaza kuzipeleka mahakamani, ya mabehewa imo ingawa sio rahisi K ukamata vigogo aid I wataishia mafundi
5. Kwakuwa uchunguzi kuhusu sakata hili ulifanywa na vyombo vya dola kwa maana ya CAG, PPRA, AG& PCCB, kwanini Mwakyembe anatokwa povu kwa utetezi badala ya serikali Kuleta ripoti bungeni ili mbivu na Mbichi zijulikane?
6. Iweje Ufisadi huu mkubwa serikali ipige dili yenyewe, ijichunguze yenyewe na ijishughulikie yenyewe? kwann ugumu Kuleta ripoti bungeni tangu mwaka Jana?
7. Nani anajua kilichosababisha Mwakyembe aondolewe wizara ya uchukuzi na kupelekwa wizara ya Afrika mashariki katikati ya sakata hili?
TUNATAKA RIPOTI YA MABEHEWA BUNGENI