MJADALA HURU: Nini kimeshusha Maadili kwa Viongozi wa Kuteuliwa?

Benjamini Netanyahu

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
80,836
93,617
Viongozi, kumekuwa na mijadala kuhusu viongozi hususa, hawa wa kuteuliwa kutokuwa na maadili na matokeo yake kuonekana kama vyeo vya asante na shukrani kwa makada.

Je, nini kimechangia kushusha maandali? Je, ni upatikanaji wao? Kutokuandaliwa vizuri kuja kuongoza ama ni kuteuliwa kwa kujuana?

Kwanini sasa hivi kwenye jamii vyeo kama DC/RC vinaonekana kama vyeo vya kawaida sana kuliko hata DAS/DED na wakati hawa ni wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama Wilaya na Mikoa?

Naomba tuweke vyama pembeni na tuchangie kwa uhuru.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom