Mwita Waitara, jiwe la chumvi

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
10,526
13,015
Kwako bwana Mwikwabwe Mwita, kiranja mkuu wa Azania zamani, mwenyekiti wa kitivo cha sayansi UDSM zamani, Rais wa DARUSO zamani, mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa TANGA zamani, mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa kivule CHADEMA zamani. Mbunge wa ukonga CHADEMA zamani, mbunge wa Ukonga CCM na sasa wa Tarime CCM.

Nimetaja vyeo vyako vyote kwanza kuonesha namna ulivyokuwa mchumia tumbo, usiye na msimamo na mwepesi wa kubadilika kama jiwe la chumvi nakufamu tangu utoto. Sijakujulia ukubwani.

Jana ulionekana kulia dunia nzima ikikuangalia ulitafuta huruma hutaipata.

Watu walikuchangia pesa kule Ukonga 2015 ili uwe mbunge wao (hukua na kitu kapuku) kuja kustuka upo ofisi za LUMUMBA ati umerudi nyumbani? Ile laana haitakuacha salama kaka.

Ukahonga tena pesa ili urudi kuwa mbunge wa Ukonga [vitambulisho vilinunuliwa ili watu wasiende kupiga kura, naweza kuthibitisha)

Umeenda Tarime tunajua yaliyotokea 2020. Mwita unailalamikia Serikali ya CCM ileile uliyoiunga mkono na kurudi nyumbani?

Acha ghiriba za kisiasa ndugu waziri wa zamani

Dunia haina huruma na wewe. Wewe ni msaliti wa umma.

----

Pia soma > Mbunge Mwita Waitara amwaga machozi mbele ya Wanahabari
 
Wakurya si ndio huwa wanasifika sana kwa ujasiri sasa huyu Muraa anafeli wapi? Au alikua tungi? maana kuna watu wengine wakinywa pombe zao zinawatuma kulia tu.
 
Zile tabia zake za upinde aliacha? Mwafrika hata asome vipi ushenzi hauwezi mtoka ni sawa na mpumbavu hata umtwange kwenye kinu upumbavu wake hautamtoka.

Huyo jamaa huwezi amini kuwa ni msomi wa digrii, enzi hizo ukimwona alivyokua akiomba bia na kujidhalilisha kwenye mabaa hungeamini ana familia.

Kwa ufupi ni mtu wa hovyo sana.
 
Bloodily-fool
Upumbavu usiombe ukae kwenye damu ni hatare
Tunaomba sana upumbavu uwe nje usiwe ndani (gene)
 
Zile tabia zake za upinde aliacha? Mwafrika hata asome vipi ushenzi hauwezi mtoka ni sawa na mpumbavu hata umtwange kwenye kinu upumbavu wake hautamtoka.

Huyo jamaa huwezi amini kuwa ni msomi wa digrii, enzi hizo ukimwona alivyokua akiomba bia na kujidhalilisha kwenye mabaa hungeamini ana familia.

Kwa ufupi ni mtu wa hovyo sana.
Zile tabia zake za upinde aliacha?
 
Zile tabia zake za upinde aliacha? Mwafrika hata asome vipi ushenzi hauwezi mtoka ni sawa na mpumbavu hata umtwange kwenye kinu upumbavu wake hautamtoka.

Huyo jamaa huwezi amini kuwa ni msomi wa digrii, enzi hizo ukimwona alivyokua akiomba bia na kujidhalilisha kwenye mabaa hungeamini ana familia.

Kwa ufupi ni mtu wa hovyo sana.
BSC.ed (math& chemistry) vizuri tu
 
1. yellow fever ya 2025 ndio inamliza na sio kingine AU
2. Kile 'kinywaji' chake kilimzidi na ndio kilikuwa kinamliza|! AU
3. 'Kijiti cha Arusha' kilikuwa kinafanya kazi yake!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom