Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi Jumapili ya leo, ni March 26, 2023, nimepata tena fursa ya kuja na makala nyingine ya kwa maslahi ya taifa. Mabandiko mengi humu JF ni mabandiko kuhusu habari na matukio "news and...
10 Reactions
51 Replies
5K Views
TRA wakishirikiana na maafisa wa wilaya ya Songwe wamekuwa wakiwahuhujumu wafanya biashara wadogo wa wilaya ya Songwe wamekuwa wakiwafungia biashara zao hasa mama na kuwalazimisha walipie sh...
0 Reactions
3 Replies
950 Views
Ilikuwa leo katika ibada maalum ya kumuaga Marehemu askofu wa Jimbo kuu la wakatoliki Mbeya iliyofanyika Makao makuu ya baraza la maaskofu Tanzania Kurasini jijini DSM. Alipopata fursa ya kutoa...
7 Reactions
62 Replies
13K Views
Nimedokezwa kuwa aliyepata tenda ya kuiuzia serikali vishikwambi vya sensa na walimu amepiga kama bil 10 faida ya pesa chafu. Ripogi ya CAG imetupatia jibu sahihi kuwa kumbe pesa za umma...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna watu wanadhani ukiwa kiongozi wakitaifa utaendelea kuwa na mashost na marafiki... If Kuna kiongozi anadhani anaweza kuwa na mashost na marafiki ktk kuwa kiongozi basi anachimba shimo refu ktk...
0 Reactions
2 Replies
645 Views
Salaam nyote Wana Jamii forums Mkutano wa Kumi na Moja wa Bunge unatarajiwa kuanza tarehe 4 April 2023, ni Bunge la bajeti mambo mengi yatajadiliwa zikiwemo ripoti 16 za kamati za Bunge, Aidha...
1 Reactions
29 Replies
1K Views
Baada ya Mapinduzi (matukufu?) ya Zanzibar Mwaka 1964, chama cha ASP kikapiga marufuku vyama vingine vya siasa na kuharamisha viongozi wake. Ukiwa Zanzibar ilikuwa ama uwe ASP au uwe adui wa...
15 Reactions
29 Replies
2K Views
Mpaka sasa hatuna cha kukosoa Serikali ya Awamu ya 6. Ndio maana ukija kwenye mikutano yetu tunaizungumzia zaidi serikali ya awamu ya 5 ambayo haipo. Hata kwenye Kampeni 2025 tutaiponda tutakuwa...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Picha husema bila maneno. Tunakoelekea ndiko huko picha hii inakotuelekeza. Yaliyopita pia yanaonekana kwenye picha hii. Tanzania tunayoelekea ni Tanzania ya mazungumzo na maelewano. Ni Tanzania...
14 Reactions
52 Replies
4K Views
Wajuzi na watabiri wa mambo naombeni mnisaidie itachukua miaka mingapi nchi yetu ijiendeshe yenyewe. Ni aibu kwa taifa lilopata Uhuru zaidi ya miaka sitini tunaagiza chumvi,sukari na mchele n.k...
1 Reactions
27 Replies
1K Views
Katibu wa Kanda ya Kusini , Mh Kaduma ameendelea na ziara ya kuimarisha chama chake , kwa kufanya makongamano na vikao vya ndani. Hapa ni Mbinga Na hapa ni Namtumbo
8 Reactions
44 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema wote tumeshtushwa na Wizi mkubwa ulioainishwa na CAG Katika Ripoti yake hivyo inatupasa tupaze Sauti zetu Kelele zetu Katika...
2 Reactions
5 Replies
913 Views
Waziri wa Utamaduni, Sana na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amesema Wizara inakaribisha Wadau kushiriki katika Shughuli za Utamaduni, Sanaa na Michezo ikiwemo matamasha, ligi za michezo...
1 Reactions
3 Replies
680 Views
Kutokana na ujio wa Makamu wa Rais wa Marekani amesema Kampunu ya IRVINE itawekeza Tsh Bilioni 74.8 kwenye ufugaji wa kuku nchini Uwekezaji huu utawezesha kuhakikishwa kwa Usalama wa Chakula...
2 Reactions
8 Replies
675 Views
Nasema kwakuwa najua na nimekitumikia ninachokisema. Nimekuwa kiongozi kwenye vyombo vya ulinzi; chamani na serikalini. Najua kuwa yapo mambo ya kusemwa hadharani na yale ya kuhifadhiwa na...
15 Reactions
18 Replies
2K Views
Hapa narejea nukuu ya Mwalimu Nyerere kwamba ujinga ni kipaji kama ufupi na urefu. Ni kama aina fulani ya unyumbu wa kurithi. Sijaona mashekhe wakiandamana kupinga ripoti ya CAG iliyosheheni...
27 Reactions
65 Replies
3K Views
Mambo ya Hovyo Kabisa, hao Polisi wa Chato wana mambo meusi sana. Kuna uyo Mmoja anaitwa anakuaga amelewa mpaka muda wa Kazi, anatesa sanaa mahabusu, anawavuaga nguo wanabaki uchi anawapiga kama...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kisa cha Wakili Farah Maalim Mohammed na kielelezo cha makuu ya Tanzania. #Zimesambaa video za Naibu Spika wa zamani wa Bunge la Kenya na Mbunge wa sasa wa jimbo la Dabaab Nchini Kenya Mh. wakili...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…