Mhe. Rais anatamamani Sana kupata watu wakumsaidia kwenye uwaziri; lakini may be Hana majina mengi ya watu wanaofaa na hivyo kulazimika kutumia majina yale yale.
Great thinkers tunaweza kutumia...
Jeshi la Polisi kazi yao kubwa ni kulinda raia na mali zao, juzi imetokea sintofahamu ya pesa zao wenyewe kuibiana wao kwa wao ambapo kiasi cha tsh bilion 4.8 zimeliwa na watu wanaojiita wakubwa...
Matukio mawili ya mauaji ya raia yakihusisha askari wa Jeshi la Polisi, yamehitimisha mwezi uliopita vibaya, huku polisi PC 4489 Kaluletela akiwekwa mbaroni kwa tuhuma za mauaji ya Ng’ondi Marwa...
Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara amejibu Kuwa kile mlichoona mitandaoni hakikuwa bali alikuwa anatoa Sumu Mwilini na sasa kazi ndio inaanza na kwamba hatamwogopa mtu yoyote awe wa Serikali...
Hatimaye serikali imeamua kuanza ujenzi wa nyumba mpya maeneo ya Golden Tulip kwa ajili ya familia ya Maghufuli.
Licha ya kujiuzia nyumba kadhaa jijini DSM, na hata zingine kwa vimada wake akiwa...
Kipi ni bora, wanyama pori au watanzania wanaoishi pembezoni mwa Hifadhi za Taifa. Hapa nitatoa mifano miwili.
(1) Wananchi wanaoishi pembe zoni wa Hifadhi ya Serengeti Wilayani Tarime.Ikumbukwe...
Kwa mujibu wa ripoti ya E-Mobility Alliance, ambayo ilitolewa mwezi uliopita, inaonyesha kuwa kuna angalau magari 5,000 ya umeme (EVs) nchini Tanzania
Ingawa uagizaji na utumiaji wa magari ya...
Pongezi nyingi kwa jitihada unazofanya za kuongoza nchi yetu na kurudisha hali nzuri ya mahusiano na uongozi wa kidemokrasia na kisheria. Najua una mambo mengi ila nitaandika kwa kifupi kabisa...
Serikali ikiwa ipo katika mchakato wa matayarisho ya dira mpya ya Taifa ya maendeleo ya miaka 25 ijayo kuanzia 2025-2050 na hapo hapo kukiwa na mkakati wa kuendeleza mchakato wa katiba mpya, kwa...
Rais aligoma kuwataja wale waliotoa mabilioni yao kufadhili Royal Tour!
Rais akaendelea kuyaficha Majina ya aliodai wamekwapua pesa na kuzificha China!
Rais akanyamazia tenda yenye kila harufu...
Wakati Tanzania/ Serikali inazindua leo maandalizi ya uaandaaji wa Dira(Vision) ya Taifa 2050, ni muhimu saana kuangalia mabadiliko na ukuaji wa teknolojia kwa kuangalia muda (Time factor)
Dira...
Hapo chini anaonekana mkuu wa wilaya akimlazimisha mama muuza mchicha kununua kitambulisho kwa sh 20000 wakati huo mchicha wenyewe hata mafungu ishirini hayafiki.
Huku ndiyo kuwatetea wanyonge
Kilio kikubwa cha Vyama vya Upinzani ilikuwa ni kufungiwa Mikutano ya hadhara na hivyo kushindwa Kuongea na Wananchi kuhusu hali zao za Maisha.
Sasa Mfumuko wa Bei uko Juu na Mikutano...
Wanabodi,
Hii ni mada kuhusu baadhi ya maamuzi ya rais wetu, Mhe. Dr. John Pombe Joseph Mugufuli anayoyafanya sasa huku watu wanashangilia sana kila kinachofanywa na Rais wetu, wakiamini na...
Mhe. Rais, mawaziri wengi na watendaji wako unaowateua kukusaidia ni mizigo mikubwa, wamekuwa na uwezo mdogo wa kutatua changamoto zinazowakabili wananchi. Sikufundishi kazi, ila unaeona hatoshi...
Nshachoka hata kuhesabu. Hivi tuko na miaka mingapi kweli ya uhuru... Any way, whatever the number is ila bado hatuko serious.
Hatuna dira ya Taifa ya maendeleo, hata maandalizi tuu ya kuwa na...
Ameongazana na mawakili 8. 6 wa nchini Tanzania na 2 kutoka Uingereza.
Wakati Yusuf Manji akitoka nje ya kituo, Polisi waagizwa kumzuia asiondoke, amerudishwa kituoni.
Mwenyekiti wa Yanga Yusuph...
MWENENDO wa mambo ndani ya Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Moshi Mjini si shwari.
Taarifa zilizoifikia Tanzania PANORAMA Blog kutoka vyanzo vyake vya habari vilivyoko ndani ya...
Habari wakuu,
Kuna miradi mingi iliyoanza muda mrefu na mpaka sasa haijakamilika Bandari kavu Vigwaza
Huu ni mradi ambao ulianza muda mrefu sana , na katika mipango walioiweka , ilitakiwa mpaka...
Dalili na mipangilio ya awali imeanza kujionesha kwamba sasa team Mwigulu na team Makamba jr ndio zimejipanga vizuri kimkakati kuiendea 2030
Tuombe Uzima
Kesho ni Jumapili ya Mitende!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.