Habari wakuu,
Kuna miradi mingi iliyoanza muda mrefu na mpaka sasa haijakamilika Bandari kavu Vigwaza
Huu ni mradi ambao ulianza muda mrefu sana , na katika mipango walioiweka , ilitakiwa mpaka...
Dalili na mipangilio ya awali imeanza kujionesha kwamba sasa team Mwigulu na team Makamba jr ndio zimejipanga vizuri kimkakati kuiendea 2030
Tuombe Uzima
Kesho ni Jumapili ya Mitende!
Chama tawala nao wamesema:
Hiki angalau kimtindo, kitakuwa kimeumana.
Ngoja tuone.
-----
Chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeitaka Serikali kuwachukulia hatua kwa...
Tunapoelekea katika hio siku muhimu ya kuenzi kifo cha JPM, ni vyema huu mwaka Mh SSH akaitangaza rasmi hio siku kuwa sikukuu ya kitaifa, ili kuenzi mema na makubwa kabisa aliyo yafanya Hayati Dr...
Hongera crdes wote kwa kuaminiwa na kuteuliwa kwenu hakika ni imani kubwa sana mmepewa na Mkt wetu Ndg Samia Suluhu Hassan kaitendeeni haki.
===
Nendeni kachapeni kazi ili kama Chama tuweze...
Rais John Magufuli asubuhi ya leo Mei 21, 2019 atatembelea Makao Makuu ya TTCL na kupokea gawio kwa mara ya pili mfululizo.
Gawio hili linatajwa kuwa ni kubwa zaidi ikilinganishwa na mwaka jana...
1. "POCHI LA MAMA LIMETEMA."
2. "MIKOPO HII INAELEKEZWA KWENYE MAENDELEO NA ELIMU"
UZI huu umeandikwa na Deograsius Andrew
Mara kadhaa CAG amekua akiripoti upotevu wa fedha lakini Tanzania sauti...
Mtandao wa kukata tiketi wa kampuni ya Air Tanzania kwa miezi kadhaa sasa umekuwa chini kwa makusudi kabisa na inaonekana hamna anayeguswa na tatizo hili kwenye uongozi wa nchi yetu.
Wateja...
Wana JF habari zenu.
Mh. Rais wetu Mama Samia, jana akiongea baada ya kupokea ripoti ya CAG Ikulu, Dar es Salaam, alisema kwa ukali sana, waliohusika na ongezeko la bei ya ndege ya mizigo ya ATCL...
Makala ifuatayo kutoka The Chanzo inawatia Moyo wale waliothubutu kuleta mageuzi ya Kilimo Nchini Kupitia Mpango wa Vijana BBT.
Hapa Tanzania ukitaka kufanya jambo kubwa usiwasikilize loosers...
"Naamini mwaka huu tutakuwa na ongezeko la Mashirika yanayotoa gawio, Mashirika yasiotoa gawio lazima tutumie sheria kuhakikisha yanatoa au yanaondoka, Msajili wa Hazina simamia hili. Taasisi zote...
Dar es Salaam. Nani waliochota mabilioni haya. Hili ndilo swali ambalo wengi wanajiuliza baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kubaini ufisadi wa Sh4.8 bilioni...
Mimi nashauri kwamba serikali isiyoweza kusimamia vyema mali za Watanzania ndiyo inayotakiwa kufutwa.
Maana yake ni kwamba hawa viongozi hawana uwezo wa kuwatumikia waTanzania kwa kuacha mali zao...
Ni kweli miradi iliyoanzishwa chini ya utawala wa Magufuli, ilitosha kuifanya nchi yetu kuondokana na umasikini na kuwa nchi yenye uchumi mkubwa kiasi cha kutoa misaada?
#Unapoitazama SGR unaona...
Wiki jana nilikuwa Posta DAr kwenye hicho kituo ambacho wanasiasa wanakisifia eti ni "one stop center" ambacho kinahusisha Maafisa Biashara, watu wa Brela, RITA, TRA, NIDA, Benki ya CRDB na...
Askofu Bagonza amesema " Mbwa anayeshinda kwenye Mnyororo na kupewa Chakula na kunyimwa Uhuru hukusanya uchungu na chuki dhidi ya Viumbe vilivyo Huru na Kuwa mkali kupita kiasi. Ule siyo Ukali ni...
Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichoketi hii leo tarehe 1 April 2023 chini ya Uenyekiti wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kimetoa...
Wachora Katuni ulimwenguni kwa kawaida ndiyo watu wanaothibitisha ule msemo wa "Picha huongea maneno zaidi ya Elfu kwa wakati mmoja". Na sheria ya sanaa katuni mmoja hutafsiriwa kutegemea na mtu...
Ukikaa vijiwe vya Kahawa Tanga hasa kwamsisi, Handeni na Pangani ukasikiliza Stori za wananchi utatambua umuhimu wa kuziweka mamlaka za uteuzi mikononi mwa Mungu.
Watu wanaratiba kabisa yakwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.