Hivi watanzania wanaelewa maana ya demokrasia na haki za binadamu kama zinavyofahamika na marekani? Kwa marekani demokrasia na haki za binadamu zinaambatana na haki za mashoga almaarufu kama...
Nadharia Njama (Consipirancy Theory) ni hali ya kuamini kwamba kuna taasisi au watu fulani wanahusika kufanya jambo fulani la siri kwa faida yao. Lakini pia inawezekana ikawa ni hoja fikirishi ya...
Mtu yeyote anaweza kupata fursa nzuri na maendeleo. Zipo familia zilizo bahatika kuishi katika utajiri mkubwa.
Hiyo ni fursa ambayo wamejariwa. Changamoto ni kwamba wapo wanao amini kuwa umaskini...
Jarida maarufu la masuala ya biashara Afrika na Duniani limeitaja Tanzania kuwa Moja ya Nchi zinazoelekea kuwa kimbilio la wawekezaji Duniani.
Hongera sana Rais Samia na Tanzania, haya ndio mambo...
Haya ni maoni yangu binafsi kwa jinsi nilivyowaona na kuwasikia kwenye mambo yao mbalimbali waliyoyafanya kwenye siasa za Tanzania. Hii list inahusisha wanasiasa wa zamani na wa sasa, walio hai na...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekabidhi pikipiki 100 zenye thamani ya sh. milioni 260 kwa vijana wa wilaya ya Ruangwa ili wazitumie kufanya biashara ya usafirishaji.
Akizungumza na vijana wa...
Kuna watu wanashangaa kila siku majina ya wateuliwa ni yale yale na kumlaumu Rais .
Idadi ya watanzania inakaribiana na South Africa,na UK.
Lakini wenzetu wana vichwa,wanaweza kuunda mabaraza ya...
Nina uhakika hakuna mtanzania anapenda kuonewa, lakini hii tabia ya Kila mwaka CAG anaeleza mabilioni yanayopigwa na wahusika wanaendelea kutamba na v8 mabarabarani ni uonevu mkubwa.
Kuna watu...
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (Member of Parliament - EALA ) Mhe. Dkt. Shogo Mlozi Sedoyeka, PhD anashiriki semina ya EALA Women Caucus juu ya Kuendeleza Utawala unaozingatia Jinsia...
Ripoti ya CAG inasema billion 88 zimepotea katika mpango wa Halmashauri wa kutenga 10% za mapato yao kwa ajili ya mikopo ya vijana na wanawake.
Sijawahi kufahamu nani alitoa wazo hili kwa kuanzia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Jenista Mhagama kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) kwenye hafla fupi iliyofanyika...
Habari JF,
Hivi mbona watanzania tunakuwa wajinga kiasi hiki? Maisha mtaani magumu ,ufisadi na Huduma bado duni za kijamii lakini bado mtu badala waje watusemee matatizo yetu, kila siku kumsema...
Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa...
Tuliwahi kuwa na viwanda vingi na vya namna mbalimbali ambavyo lengo lake kubwa lilikuwa ni kutengeneza uwezo wa ndani wa taifa kuzalisha bidhaa mbalimbali ili kutosheleza kwa kiasi kikubwa...
Jana, raisi wa Jamhuri ya Muungano na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania kaeleza kwamba kuna mtu amekopa benki 5 au 6 tofauti za Tanzania na hajulikani alipo, yaani...
Natanguliza shukrani zangu kwa Mwenyezi Mungu mwingi wa kusamehe, pia nawashukuru wazazi wangu Kwa kunileta duniani na kuweza kupata uhai ambao Leo hii unanifanya naweza kufikiri Kwa mapana.
Leo...
Baadhi ya askari kutoka nchini Marekani wakihitimisha jukumu la ulinzi katika uwanja wa ndenge ya Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, baada ya Makamu wa Rais wa nchi hiyo Kamala Harris...
Wenzangu wa CCM tujifunze kutoka kwa CCM mwenzetu wa China. Yeye yupo kwa maslahi ya China kwa 100% lakini sisi wengi wetu kwa 100% wapo kwa maslahi yao.
Tukutane tukae tuunde mfumo wa kudhibiti...
Kabla ya kuvunja TTCL serikali ingefanya haya kwanza.
Kuhakikisha zoezi la kampuni zote za simu zinauza hisa Kwa wananchi kama ambavyo sheria inataka na iwapo wananchi wakishindwa kununua hisa...
Waliokuwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha St Augustine Mwanza wameshinda kesi dhidi ya Bodi ya wadhamini ya chuo hicho baada ya kupigania haki kwa miaka 12 na Mahakama kuamuru walipwe fidia ya Sh30...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.