Serikali yaanza ujenzi wa nyumba mpya ya Hayati Magufuli jijini Dar es Salaam kama Rais Mstaafu

Mwikimbi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,762
825
Hatimaye serikali imeamua kuanza ujenzi wa nyumba mpya maeneo ya Golden Tulip kwa ajili ya familia ya Maghufuli.

Licha ya kujiuzia nyumba kadhaa jijini DSM, na hata zingine kwa vimada wake akiwa waziri wa ujenzi. Licha kujijengea mahekalu mkoani Geita na kujijengea uwanja wa ndege huko Chato.

Kama vile haitoshi, kodi za Watanzania zimeanza kutumika kumjengea JPM nyumba nyingine pale Golden Tulip kama walivyo wastaafu wengine.
 
Hatimaye serikali imeamua kuanza ujenzi wa nyumba mpya maeneo ya Golden Tulip kwa ajili ya Familia Ya maghufuli
Licha ya kujiuzia nyumba kadhaa jijini DSm, na hata zingine kwa vimada wake akiwa waziri wa ujenzi.
Licha kujijengea mahekalu mkoanu Geita na kujijengea uwanja wa Ndege huko Chato.
Kama vile haitoshi, kodi za watanzania zimeanza kutumika kumjengea JPM nyumba ingine pale Golden Tulip kama walivyo wastaafu wengine.
Unawivu, mbona wengine waliojengewa huwasemi na wote wana mimali hata kumzidi mwendazake, kasome katiba inasemaje kuhusu maslahi ya viongozi wakuu wa serikali.
 
Hatimaye serikali imeamua kuanza ujenzi wa nyumba mpya maeneo ya Golden Tulip kwa ajili ya Familia Ya maghufuli
Licha ya kujiuzia nyumba kadhaa jijini DSm, na hata zingine kwa vimada wake akiwa waziri wa ujenzi.
Licha kujijengea mahekalu mkoanu Geita na kujijengea uwanja wa Ndege huko Chato.
Kama vile haitoshi, kodi za watanzania zimeanza kutumika kumjengea JPM nyumba ingine pale Golden Tulip kama walivyo wastaafu wengine.
Hii sheria ni ya kihuni kabisa
 
Sasa ina maana gani ya kutumia mabilioni kuhamishia serikali huko kama wote hawapataki kuishi huko!
Ni takwa la kikatiba kwa viongozi wakuu kujengewa nyumba! JPM aliwajengea Mwinyi Mkapa na Kikwete! Ni haki yake na yeye ajengewe! Big up mama tozo anaupiga mwingi!
 
Hatimaye serikali imeamua kuanza ujenzi wa nyumba mpya maeneo ya Golden Tulip kwa ajili ya Familia Ya maghufuli
Licha ya kujiuzia nyumba kadhaa jijini DSm, na hata zingine kwa vimada wake akiwa waziri wa ujenzi.
Licha kujijengea mahekalu mkoanu Geita na kujijengea uwanja wa Ndege huko Chato.
Kama vile haitoshi, kodi za watanzania zimeanza kutumika kumjengea JPM nyumba ingine pale Golden Tulip kama walivyo wastaafu wengine.
Acha chuki za kike
 
Mkuu Jitahidi hata uwe una tu update na Vipicha picha vya Hio nyumba anayojengewa hatua kwa hatua. Bila Picha Na ushahidi sintaamini.
 
Back
Top Bottom