Yusuf Manji awasili Polisi kituo cha Kati kuitikia wito wa RC Makonda

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,932
4,403


IMG-20170209-WA0099.jpg


Ameongazana na mawakili 8. 6 wa nchini Tanzania na 2 kutoka Uingereza.

Wakati Yusuf Manji akitoka nje ya kituo, Polisi waagizwa kumzuia asiondoke, amerudishwa kituoni.

Mwenyekiti wa Yanga Yusuph Manji bado yupo kituo cha Polisi, kwa habari zilizopo anamsubiri kamanda Sirro.
 
Back
Top Bottom