Tanzania haikufika kupiga kura kwenye azimio linaloitaka Urusi kuondoka Ukraine

Rare Sapphire

JF-Expert Member
Jul 24, 2021
576
1,625
IMG_20230225_052417_610.jpg

Wakati majirani zetu Kenya na Uganda wakiwa na misimamo tofauti kuhusu vita ya Ukraine na Urusi, ambapo Kenya ilipiga kura kukubaliana na azimio la Russia kusitisha vita na Uganda ikipiga kura ya kutofungamana na upande wowote, Tanzania haikupeleka mwakilishi kabisa kupiga kura juu ya Azimio hilo.

Kikao cha 11 cha dharura kilifanyika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa tar. 24 Februari 2023, kuidhinisha Azimio linalosisitiza Kanuni za Mkataba wa Umoja wa Mataifa linalotaka kuwepo kwa amani nchini Ukraine na Urusi kusitisha vita na kuondoka Ukraine, ambapo nchi wanachama 141 ziliunga mkono azimio hilo, 7 zilipiga kura ya kupinga na 32 zikiwa hazina upande wowote.

Kwenye Azimio hilo Elitria ilipiga kura ya hapana, na kuifanya kuwa nchi pekee Afrika kukataa Azimio hilo.

IMG_20230225_052410_348.jpg

=====

Kenya and Uganda have maintained their opposite voting stances on Russia’s invasion of Ukraine, keeping a pattern that may explain the influence of Moscow in the wider African continent.

At the 11th Emergency Session of the UN General Assembly (UNGA), Kenya voted alongside 31 other African countries to endorse a resolution asserting the ‘Principles of the Charter of the UN’ seeking a “a comprehensive, just and lasting peace in Ukraine.”

The vote in which 141 member states supported, seven voted against and 32 abstained, means the UN General Assembly was demanding withdrawal of Russian forces from Ukraine, earning Kyiv the much-needed international backing against Moscow.

Coming on the anniversary of Russia’s invasion, however, it depicted a divided African continent in which countries have also maintained a neutral stance.

Uganda, just like last year, abstained and so did South Africa, which explained the UNGA vote wasn’t helping bring parties closer to a solution. Uganda abstained just after Ukrainian President Volodymyr Zelensky spoke with Ugandan counterpart Yoweri Museveni by phone about their bilateral ties.

Sudan, Ethiopia, Gabon, Guinea, Mozambique, Namibia, Angola and Algeria and Burundi abstained too. Tanzania was absent from the room, failing to register a vote while Eritrea voted no, becoming the only African country to reject the resolution.

Overall, there were more African countries supporting the resolution than last year when the UNGA first employed the rare emergency vote. Rwanda, DR Congo, Benin, Nigeria, Ghana, South Sudan, Nigeria and Niger were among those who supported the vote.

UNGA resolutions, generally known as ‘town hall’ debates carry little powers to implement but they grant the winners political capital. In March last year, 141 countries also supported a resolution to reaffirm Ukraine’s sovereignty, demanding that Russia “immediately, completely and unconditionally withdraw all of its military forces from the territory of Ukraine within its internationally recognised borders.” Kenya voted for it too.

The East African
 
Tanzania imeamua kwà busara USA ni wapumbavu
Ni nani yuko vitani mkuu, ni Mrusi au Marekani?

Mrusi ndio mpumbavu anakandamiza nchi zingine kwa ubabe wa kijinga na hata hivyo mission zake zimefeli

Ka nchi kadogo kamemshinda?

Pumbavu zake kabisa urusi
 
Pro USA mnashindwa kuelewa why russia yuko vitani labda nikuulize swali dogo je USA atakubali russia aweke nuclear base Cuba? Wanachofanya nato ni kutaja kumzunguka mrusi kitu ambacho hata wewe usingekubali kuzungukwa na adui. Vita hii kwà mrusi ni kwaajili ya survival yake.
 
Ni nani yuko vitani mkuu, ni Mrusi au Marekani?

Mrusi ndio mpumbavu anakandamiza nchi zingine kwa ubabe wa kijinga na hata hivyo mission zake zimefeli

Ka nchi kadogo kamemshinda?

Pumbavu zake kabisa urusi
Urusi hiii vita ameshafeli aachetuu. Maana kitakachompata apoo mbelenii atajutaa.
 
Ni nani yuko vitani mkuu, ni Mrusi au Marekani?

Mrusi ndio mpumbavu anakandamiza nchi zingine kwa ubabe wa kijinga na hata hivyo mission zake zimefeli

Ka nchi kadogo kamemshinda?

Pumbavu zake kabisa urusi
Kama kukandamiza nchi zingine ndio upumbavu basi USA atakuwa mpumbavu zaidi coz amezikandamiza nchi nyingi sana kimabavu; Iraq, Afghanistan. Ameua millions of people mwisho wa siku akashindwa na kuondoka.
 
Ni nani yuko vitani mkuu, ni Mrusi au Marekani?

Mrusi ndio mpumbavu anakandamiza nchi zingine kwa ubabe wa kijinga na hata hivyo mission zake zimefeli

Ka nchi kadogo kamemshinda?

Pumbavu zake kabisa urusi
Unajua kama marais wa mataifa zaid ya 50 wameuwawa, na aliehusika ktk hayo mauaji ni marekani mwenyew?
 
Ni nani yuko vitani mkuu, ni Mrusi au Marekani?

Mrusi ndio mpumbavu anakandamiza nchi zingine kwa ubabe wa kijinga na hata hivyo mission zake zimefeli

Ka nchi kadogo kamemshinda?

Pumbavu zake kabisa urusi
Ujitambue, Ukraine haina silaha wala jeshi, ila inauwanja wa kupigania, wanaopigana na silaha zao ni NATO and EU Vs Russia, pongezi kwa Dr Samia!
 
Nafikiri tuache ushabiki wa kiitikadi; siyo kwa sababu wewe unaitikadi za kijamaa na kikomunisti ndyo uitetee Russia. Russia iliziruhusu sehemu za Usovieti ziwe huru. Lakini bado ilikuwa inaingilia, tena ni Putin, siasa za Ukraine na mpaka ikaichukua Crimea. Putin na Russia ni world super power. Angeweza kabisa kushawishi Ukraine iwe kama Finland, Sweden au Switzeland- Neutral Countries. Inasikitisha sana uharibifu wa bila huruma anaowafanyia Ukraine. Jambo moja Putin ajue kuwa hawezi kupingana na Biblia. Na akilazimisha sana ataondoka yeye ili Dunia iondokane na TISHIO LA VITA YA NYUKILIA ambayo kama ingetokea dunia ingeharibiwa kabisa. Biblia inasema Mungu hataruhusu Dunia yake iharibiwe
 
Bwashee hapo umechemsha sana.
1. Inaelekea hujui ni kwa nini Putin aliamua kuichukua Crimea. Kwa ufupi ni kwamba, Putin aliichukua Crimea kwa sababu rais wa Ukraine aliyekuwa madarakani alikuwa amekubali kuwaruhusu wamarekani kuanzisha kambi ya Navy kwenye bandari ya Sebastopol. Ebu fikiria marekani angekuwa na kambi ya navy hapo karibu kiasi hicho. Ni rais mjinga peke yake angekubali hilo litokee. Kama wa USA walikuwa tayari kuizamisha majini kwa nuklia Cuba mwaka 1962 kwa sababu waliona makombora ya USSR yamewekwa huko, kwa utake Putin akae kimya wakati meli za kivita na nyambizi za marekani ziko km 20 toka nchini kwake?
2. Kuishawishi Ukraine iwe neutral ilikuwa haiwezekani kwa sababu wamarekani walifadhiri mapinduzi ya 2014 yaliyomwondoa madarakani rais aliyechaguliwa kidemokrasia. Kwenye urais wakaweka watu wanaowataka wao.
3. Vita vya Ukraine ni vita ya marekani dhidi ya Russia. Kwenye siasa za mambo ya nje ya marekani sasa hivi wanazungumzia sana issue ya "to counter" baadhi ya nchi fulani; to counter Russia, to counter China, to counter Iran, nk. Hizi ni nchi wanazoziona kuwa ni kikwazo kwenye nia yao ya kutawala dunia. Wanafadhiri vita dhidi ya nchi hizo kwa lengo la kuzidhoofisha ili malengo yao yatimie. Wakimalizana na Russia, atafuata China, then Iran.
Amka wewe usinziaye, na kudhani kwamba watu bado wako kwenye enzi za ujamaa!
Btw, naipongeza Tanzania kwa kutopiga kura kwenye hilo azimio. Ukisikia watanzania wanasema "hatupendi ujinga", basi uhalisia wake ndiyo huo.
 
Bado sijaridhika na maelezo Yako. Suala la Cuba 1962 ilikuwa wazi kabisa na Manoari za Soviet zilikuwa zinaelekea Cuba. Suala la Crimea; kwanza Russia walikuwa wamesaini Budapest Memorundum on Security Guarantee 1994. Kama kulikuwa na hilo tishio la Ukraine kuruhusu Marekani kuweka zana za kivita Sevastopol basi lilikuwa kichwani mwa kichwa Cha Dikteta Putin. Literature hazionyeshi hivyo. Ndyo maana nasema hakukuwa na haja ya kuchukua maamuzi yanayoiweka Dunia katika hali ya Hatari wakati Russia inahiyo influence kushinikiza Ukraine iwe Neutral. Putin anachotaka ni kuirudisha Russia ikiwa mbabe kama ilivyokuwa Soviet Union. Na pia he is paranoid. Yeye ndyo anasimika viongozi madikiteta kama alivyo kuwa Viktor Yanukovych na sasa Viktor Cheshenko wa Belarus. Hizo China na Iran unazozisema zote ni tawala za Kidictator na hapa karibuni tulishuhudia wananchi wao wakizikataa bali wametumia mabavu kuwazima. Marekani na Uingereza it's a model of Human freedom,hakuna mtu aliyeko juu ya Sheria au kuwa mungu mtu. Ndyo maana makosa kama vile kosa la George Bush kuvamia Iraq kwa kisingizio Cha silaha za maangamizi yamekuka kuwekwa hadharani. Jambo kama hilo kamwe haliwezi kutokea Russia China au Iran.
Soma hii article hapa chini uone sababu hasa ya Putin kuvamia Crimea
 
Nikukumbushe tu

Nikukumbushe tu kuwa kama Putin ataendelea kufanya shingo yake ngumu na kuihatarisha hii Dunia na Vita vya Nuklia anaweza kuondoka yeye ili Dunia iwe salama. Fuatilia tu mambo yanavyokwenda
 
Bado sijaridhika na maelezo Yako. Suala la Cuba 1962 ilikuwa wazi kabisa na Manoari za Soviet zilikuwa zinaelekea Cuba. Suala la Crimea; kwanza Russia walikuwa wamesaini Budapest Memorundum on Security Guarantee 1994. Kama kulikuwa na hilo tishio la Ukraine kuruhusu Marekani kuweka zana za kivita Sevastopol basi lilikuwa kichwani mwa kichwa Cha Dikteta Putin. Literature hazionyeshi hivyo. Ndyo maana nasema hakukuwa na haja ya kuchukua maamuzi yanayoiweka Dunia katika hali ya Hatari wakati Russia inahiyo influence kushinikiza Ukraine iwe Neutral. Putin anachotaka ni kuirudisha Russia ikiwa mbabe kama ilivyokuwa Soviet Union. Na pia he is paranoid. Yeye ndyo anasimika viongozi madikiteta kama alivyo kuwa Viktor Yanukovych na sasa Viktor Cheshenko wa Belarus. Hizo China na Iran unazozisema zote ni tawala za Kidictator na hapa karibuni tulishuhudia wananchi wao wakizikataa bali wametumia mabavu kuwazima. Marekani na Uingereza it's a model of Human freedom,hakuna mtu aliyeko juu ya Sheria au kuwa mungu mtu. Ndyo maana makosa kama vile kosa la George Bush kuvamia Iraq kwa kisingizio Cha silaha za maangamizi yamekuka kuwekwa hadharani. Jambo kama hilo kamwe haliwezi kutokea Russia China au Iran.
Soma hii article hapa chini uone sababu hasa ya Putin kuvamia Crimea
Basi naona mjadara uishie hapo kwa sababu unaandika kinazi kiasi kwamba mapenzi yako kwa usa na uk yamefumba macho yako usione ukweli halisi uliopo duniani kwa sasa. Too bad !
 
Back
Top Bottom