Naumia saana ninapowasikia watu wanamsifia aliekua raisi wa Tanzania John Magufuli nikikumbuka utawala wake ulivoumiza watu bora wakae kimya
Wengi wanamkimbuka wanasema sijui kajenga madaraja wakati hivi vitu upya wake unapotea vinapokuja vitu vingine vipya zaidi mwalimu Nyerere hakumbukwi kwa kujenga ma fly overs Bali anakumbukwa kwa kujenga taifa
Nawakumbusha tu wakati lile daraja la juu la manzese linazinduliwa lilionekana ni kitu cha kushangaza na watu walikua wanaenda kupiga picha pale juu Kama fahari lakini leo hii daraja la manzese ni Nini wakati sasa Kuna madaraja mengine mazuri zaidi ya lile na haya tunayoyaona leo baada ya miaka kumi huwezi kumsimulia mwanao uzuri was John kwa kumuoneasha fly over atakuona mwehu
Kwa maadili na miiko ya kiafrika hatutakiwi kumsema vibaya marehemu lakini mnapoorodhesha mazuri yake na sisi tunakumbuka mabaya yake