Leo Humphrey Polepole ameprove ukubwa wake kwenye diplomasia yetu ya nje

Michael Uledi

Senior Member
Mar 29, 2023
132
322
Katika kipindi cha miaka mitano sijawahi kuona mjadala mkubwa kuhusu uhamisho au uteuzi wa Mabalozi wetu zaidi ya mjadala wa uhamisho wa balozi Humphrey Polepole.

Pongezi zimekuwa nyingi sana kwake kuliko wateule/Uhamisho wengine wa nafasi za Ubalozi kwa leo! Mh RAIS Samia Suluhu Hassan alitangaza kuamisha vituo balozi wa Tanzania Istanbul kwenda Falme za Kiarabu!Pia akamteua balozi mwengine kwenda kucover Istanbul.

Aina za mijadala ndani ya groups nyingi za whatsup zimeprove kwamba CCM bado inahitaji wakina PolePole wengi kwa maana ya watu ambao wanaaminika ndani na nje ya CCM.

Ndani ya mwaka mmoja wa ubalozi wake Nchini Malawi Hamfrey AMEPROVE ukubwa wake kwenye Diplomasia ya mambo ya Nje na Siasa za ndani ya CCM.

Kazi njema kijana wetu!
 
Huku pole pole, pale makonda, kule lukuvi, pembeni palamagamba kabudi, nyuma ndugai, mbele mwakiembe, golini dr Slaa, reserve Halima mdee na wenzake tukutane 2030
 
PolePole wa awamu ya kikwete na huyu wa awamu ya 5 na 6 ni watu wawili tofauti kabisa wakikutana wanaweza kutwangana mangumi
 
Back
Top Bottom