Katiba mpya ni chachu ya mabadiliko tanzania?

ThisisDenis

Senior Member
Apr 14, 2013
149
129
Natamani kujua kwa undani nini hasa kinawndelea juu ya katiba mpya maana kila kukicha tuko pale pale tunab8shana tu kwa kua tunajuana sana. Mimi nadhani katiba mpya itakua chachu pale tu chama husika kitakua na mabadiliko ya lweli ju ya wananchi wake
 
Kila jambo (safari) huanza kwa hatua moja kisha nyingine.

Kwanza tuipate katiba mpya ambayo itatupelekea kubadili mifumo yetu mibovu kuanzia vyama vya siasa mpaka kwenye mihimili muhimu kama urais, mahakama na bunge.

Kisha tutaendelea na safari mdogo mdogo. Huwezi kusema chama kibadilike au mhimili ubadilike wakati katiba bado iko upande wake.
 
Kama viongozi wetu wangekua waunvwana tusingefika huku kwenye kubadili katiba
 
Back
Top Bottom