Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Anatafuta kick tu!
Yaani CCM hakika tumekosa wajenga hoja. Hivi unaulizwa vigezo anaona ainuke yaani huyu jamaa hafai kabisa. Rais Dkt Samia hawezi shinda uchaguzi kisa mwanamke kwanza kwa hiyo kauli tu kamdhalilisha. Badala liseme fact eti linainuka zero hoja sana hili jumbe
Hii inaitwa nipe Ukuu wa Wilaya
Dah
Kwa kweli mama amuangalie, anaweza siku avue nguo, kama atacheleweshewa u-DCHii inaitwa nipe Ukuu wa Wilaya