Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Aprili 4, 2023 kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 1. MABASI KUTEMBEA KWA SAA 24 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson...
3 Reactions
48 Replies
5K Views
Ukweli ni kwamba hali ya maisha ya Watanzania ni ngumu mno ! Wananchi wanalalamika lakini hakuna anayewasikiliza, bei ya vyakula inazidi kupaa. Ni lazima sasa serikali ifanye jambo ili kunusuru...
1 Reactions
16 Replies
946 Views
Wadau wa Siasa Duniani wanakitaja Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kama chama cha siasa Maarufu zaidi Nchini Tanzania katika robo ya Kwanza ya mwaka, Chadema inatajwa Dunia nzima kama...
15 Reactions
50 Replies
3K Views
Nini kinawafanya marais wetu waliostaafu na waliopo madarakani kushindwa ama kuogopa kuonesha mali zao ikiwemo vitu wanavyomiliki? Je, ni wizi? Kwamba mali walizo nazo walozipata kwa wizi? Je...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari za muda huu Wana JF Mwaka wa 2 Sasa tokea tuondokewe na kiongozi wetu shujaa mtetezi wa wanyonge JPM endelea kupumzika kwa amani. Kuna kipindi nilikuwa Kenya kabla ya kifo Cha magufuli...
10 Reactions
45 Replies
3K Views
Huu ulikuwa uwezo wa kipekee sana Sijapata kuona ! Inafahamika kwamba Viongozi karibu wote wa ccm wanatengeneza Makundi, lakini Mara zote viongozi hao hutengeneza makundi ya kampeni, yaani...
27 Reactions
203 Replies
9K Views
  • Closed
Mbunge huyo alianza kujulikana kwa jina la Bonnah Kalua, kabla ya baadae kubadili jina na kuitwa Bonna Kamoli aliwahi wakati mmoja kusema kupitia mahojiano na chombo cha habari kuwa atakuja...
20 Reactions
201 Replies
30K Views
Mwenyekiti wa Bunge Kamati ya Serikali za Mitaa mh Halima Mdee ameitaka serikali kuwashughulikia mara moja wobadhirifu wote Tamisemi waliotajwa kwenye Ripoti ya CAG Mdee amesema safari Hii hakuna...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
KIHENZILE, SILLO & NAJMA - WENYEVITI WATATU WA BUNGE WALIOCHAGULIWA Bunge limewachagua Wenyeviti watatu wa Bunge ambao watasaidia katika kuongoza vikao vya Bunge kwa maelekezo ya Spika wa Bunge...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanasema mtu mpole akichukia ni hatari sana tena sana, huyu mama amekuwa mkimya japo aliwahi kuonya kuhusu kupapasa na kukuna kwa wabaya wake, kama unabisha muulize Diwani Athumani na Mbowe ...
15 Reactions
136 Replies
7K Views
Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CHADEMA) amemlipua Rais Magufuli wakati akichangia hoja bungeni hii bungeni hii leo akieleza kuwa amefanya vyema kwa namna alivyoliongoza taifa tangu alivyopokea kwenye...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
MHE. SOSPTER MUHONGO AGAWA CHAKULA CHA DHARURA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO Leo, Jumanne, 4.4.2023, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Mhe. Prof. Sospeter Muhongo ametembelea Kijiji cha Kusenyi...
0 Reactions
1 Replies
665 Views
Lars Vilks ni mchora katuni maarufu ambaye aliingiza dunia kwenye machafuko mpaka kutokea vifo na migogoro mikubwa baada ya kuchora katuni ya kumkashifu Mtume Muhammad SAW. Cartoonist huyu ambaye...
14 Reactions
152 Replies
11K Views
Ukisikia watu wameiacha legacy ndiyo hawa sasa. Huyu aliacha alama kweli kweli!!!! Siyo lile taka linaitwa mwamba wakati hakuna hata mtaa wala taasisi yoyote mahala popote ktk nchi yoyote...
21 Reactions
133 Replies
6K Views
Asema Ripoti ya CAG haikufika Bungeni na watu wawe watulivu. Amedai baada ya Ripoti kusomwa taarifa huwa inaletwa Bungeni na kujadiliwa na maazimio ya Ripoti kutolewa na Bunge. Ameendelea kusema...
4 Reactions
6 Replies
915 Views
Ktk Azimio Maalum la Kumpongeza Rais Samia kwa uongozi mzuri, kupitia Bunge la 12 mkutano wa 11 kikao cha Kwanza, Ole Sendeka awasha Moto. Alianza kwa kumsifia Sana Rais Samia lakini mwishoni...
17 Reactions
45 Replies
4K Views
Mbunge wa Babati Vijijini, Mhe. Daniel Sillo amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Bunge na kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Mhe. Mussa Zungu aliyechaguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge. Leo Jumanne...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huwezi kutenganisha chuma na uchumi wa mtu. China leo ndiye mzalishaji mkubwa wa chuma duniani na ndiye mwenye uchumi mkubwa zaidi. Marekani amepitwa na miji yake inaoza baada ya kupitwa kwenye...
1 Reactions
5 Replies
531 Views
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linatarajia kuanza Mkutano wa 11 ambao ni wa Bajeti kuanzia Aprili 4, hadi Juni 30, 2023. Katika Mkutano huo, Maswali mbalimbali yataulizwa pamoja na...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…