Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa akili zangu nilitegemea nisikie mawakili wameshafungua kesi za kutosha za kutokuwa na iman na Rais wa sasa wa TLS lakini Wapo kimya hii ni shida sana, it means hatuna uwezo wa kufanya...
5 Reactions
72 Replies
970 Views
Hawajasombwa na wametangaziwa siku moja, wamefurika.
2 Reactions
8 Replies
292 Views
Wakili Peter Madeleka amesema Jaji Shande anaeleza ukweli kuhusu madai ya jaribio la mapinduzi lililoratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa, ingawa hakufafanua waliohusika moja kwa moja. Amesema...
0 Reactions
4 Replies
146 Views
Yahusu Vita ya Kisiasa dhidi ya Mzee Warioba. Imeniuwia vigumu kuiweka yote hapa hivyo nimeweka Link. Tafadhli fuatilia hapa Facebook
1 Reactions
2 Replies
107 Views
Hii movie Iko Planned and coordinated vizuri kabisa . Nahisi Kuna Mauaji tutayashuhudia , Mauaji ya kikatili na kimakusudi kabisa ambayo Lengo lake ni kuaaminisha UMMA kua 'Wanaouliwa na KUTEKWA...
9 Reactions
27 Replies
478 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka vijana wasiharibu maisha yao kwa siasa na propaganda za chuki, badala yake wajikite katika jitihada na Elimu kwa kuwa ndio siri pekee ya...
2 Reactions
11 Replies
242 Views
Wanabodi, Hii ni Makala yangu ya Nipashe Jumapili Tanzania tulipopata Uhuru ile Desemba 9, 1961, sisi Tanzania tukiwa na rasilimali lukuki, lakini sasa hapa tulipo, tukijilinganisha na baadhi ya...
8 Reactions
54 Replies
5K Views
Wakili Peter Madeleka akiwa kwenye Mjadala wa Kitaifa kuhusu hatma ya Nchi uliofanyika leo Mei 16, 2026 amesema; "Nchi yetu ipo kwenye msiba. Na kwa mara ya mwisho tangu mwaka 1907... mwaka 2025...
1 Reactions
4 Replies
189 Views
Akizungumza leo Mei 16, 2026, Katika Mjadala wa kitaifa kuhusu mwelekeo na khatima ya Tanzania, uliokusanya makada na viongozi wa chama hicho, wasomi, wanadiplomasia na waandishi wa habari jijini...
0 Reactions
9 Replies
284 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa Twitter ametuma salamu za pongezi kwa Wakenya katika uchaguzi Mkuuu uliomalizika kwa...
4 Reactions
49 Replies
4K Views
Linapokuja swala la Uchaguzi CCM haina Mswalie Mtume, iko Tayari hata kuua (Mifano ni Mingi mno) Ni vigumu sana kuingia kwenye Uchaguzi nchini Tanzania kwa sheria na Taratibu zilizopo, kila...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Ili Taifa liendelee na kupata Maendeleo ni lazima watu wake wawe na Maarifa, Elimu vichwani mwao pamoja na ujuzi . Siyo Wingi wa Rasilimali ama malighafi unaoipatia...
2 Reactions
44 Replies
418 Views
"Unapozungumzia maendeleo ya nchi iliyopita kwenye mabadiliko makubwa ya kimfumo kama Tanzania, ni rahisi kuanguka kwenye mtego wa kupima mafanikio kwa kutumia mstari mmoja ulionyooka tangu mwaka...
2 Reactions
4 Replies
154 Views
Kwanza Kabisa Bandari ipo Temeke, Uwanja wa Ndege Temeke, Uwanja wa Taifa Temeke. Lakini wamekosa ubunofu wa kukusanya kodi, wanaamua kukudandia ukipark kidogo tu gari inabebwa unapigwa faaini...
1 Reactions
9 Replies
219 Views
𝗟𝗜𝗦𝗦𝗨 𝗡𝗜 𝗕𝗢𝗥𝗔 𝗔𝗕𝗔𝗞𝗜 𝗝𝗘𝗟𝗔 𝗧𝗨 𝗖𝗛𝗔𝗗𝗘𝗠𝗔 𝗧𝗨𝗠𝗘𝗥𝗜𝗗𝗛𝗜𝗔. Huyu ni mwalimu wa sheria na anafundisha sheria huko mahakamani na anawafundisha sheria akina Katuga. Kwa hiyo aendelee kukaa jela tu mbona muda...
0 Reactions
5 Replies
143 Views
Ukweli ni kwamba muda wa regime hii ovu kuanguka haupo mbali.viongozi au watu walioshiriki kufanya maovu hakika wataadhibiwa baada ya hii regime ovu kuanguka na muda huo umeshafika. Regime mpya...
1 Reactions
1 Replies
141 Views
Thamani ya mauzo ya asali imeongezeka kutoka Sh bilioni 11.4 mwaka 2024 hadi kufikia Sh bilioni 19.2 mwaka 2025, ikiwa ni ongezeko la asilimia 68.4. Mafanikio hayo yanaendelea kuimarisha hadhi ya...
1 Reactions
3 Replies
114 Views
Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo ngazi ya Taifa, Othman Masoud Othman, Othman, leo Mei 16, 2026, jijini Dar es Salaam, akizungumza katika Mjadala wa Kitaifa kuhusu Mwelekeo na Khatima ya...
4 Reactions
13 Replies
450 Views
Msajili wa vyama vya siasa, Tekeleza majukumu yako bila shinikizo la kiumbe yoyote nchini au nje ya nchi, Kama CHADEMA inatahili kuadhibiwa kwakufutwa usajili, Basi tekeleza FUTA usisikilize...
1 Reactions
4 Replies
100 Views
Baada ya Zuio la kizushi la shughuli za Chadema kuangukia pua Mahakamani, Natangaza rasmi kuanza kwa Mikutano ya hadhara kwenye Jimbo la Kyela Hatuna muda wa kupoteza, Wananchi wameongopewa sana...
18 Reactions
44 Replies
745 Views
Back
Top Bottom