Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 509
- 489
πππ¦π¦π¨ π‘π ππ’π₯π πππππ ππππ π§π¨
ππππππ π π§π¨π ππ₯πππππ.
Huyu ni mwalimu wa sheria na anafundisha sheria huko mahakamani na anawafundisha sheria akina Katuga.
Kwa hiyo aendelee kukaa jela tu mbona muda bado mrefu tu anao wa kutoa shule ya sheria! Sasa Mandela wa Ikungi anachoka mapema hivi? Yaani siku 400 tu kishatepeta hivi. Ana safari ndefu sana mbona huyu !..
Huwezi chochea uasi na kutaka kuangusha serikali halafu ukaachwa tu hivi hivi. Wewe ni nani yaani? Huyu kazoea kutopokaropoka sasa awamu hii atafunzwa kuwa na akili timamu kwa vitendo yaani.
Huyu apambane na kesi yake mpaka iishe na asitafute njia za panya kutaka kutoka jela ambako aliingia kwa kauli zake na mipango yake ya kuleta uasi.!