Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nawauliza mpo kimnya mpk sasahivi hakuna KAULI inayoeleweka je lissu anaumwa kweli? Kaisha fariki? Jitokezeni toeni KAULI anaumwa au kaisha fariki?!
2 Reactions
25 Replies
541 Views
A word of advice to you Dangote: You need to remember Samia will not be the president of Tanzania forever. Tread with care, watch what you say in public. Stop locking yourself into long term...
6 Reactions
24 Replies
551 Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kabla ya kuanza kwa mchakato wa maridhiano ya kisiasa, ni vyema kuwabaini kuwachukulia hatua za kisheria...
1 Reactions
8 Replies
372 Views
WOTE TUTAMBUE JUKUMU LA MAMA SAMIA SIO KUTUPA WANANCHI FURSA,MAMBO MENGI HAYAFAI YAMETOKANA NA UTEGEMEZI HUU, JUKUMU LA MAMA SAMIA NI KUSIMAMIA SERIKALI NA UTENDAJI WAKE ,KUFANYA MIUNDO MBINU YA...
1 Reactions
15 Replies
211 Views
Guys Aisee watu wamevurugwa na hili liwe somo. Kwa watawala na wastaafu wasipende siasa rahisi na za uongo uongo. Kwa kwa sababu ya maudhui yake sitauweka hapa huo wimbo ila kama wewe ni mdau wa...
15 Reactions
47 Replies
2K Views
Leo Mzee Wassira ameropoka, mpango wao waliokaa wakajadili. According to yeye watawatafuta baadhi yenu na akasisistiza "Tusiwe tunafuga nyoka ndani" hili sio neno la Gen-Z. Tarehe 29 kuna Askari...
10 Reactions
23 Replies
652 Views
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa CHADEMA, Katoro, Geita. John Heche, amesema, Nataka niwaambie ndugu zangu, huwezi kuua ndugu zako halafu mambo yakaisha. Kaini alipomuua ndugu yake...
19 Reactions
58 Replies
861 Views
Mgombea Ubunge Jimbo la Ismani kupitia Chama Cha Wananchi CUF Nassim Yahaya Upete ameendelea na Kampeni za kuomba ridhaa kwa wananchi kwenye Uchaguzi Mdogo Jimbo la Ismani katika Kata ya Kising’a...
1 Reactions
1 Replies
95 Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba leo CHADEMA iko Geita Mjini kwenye ile kampeni yake ya Katiba Mpya na Free Lissu Kwa umati uliojitokeza ni dhahiri Nyahoza yuko Sahihi kuifutilia mbali
9 Reactions
30 Replies
651 Views
Dereva wa Kenya Nelson Wanjohi Kirika, mkazi wa Kenya nchini Afrika Kusini Edward Mwangi Mwai, na Aziz Hama, raia wa Tanzania (kutoka kushoto kwenda kulia) wamefikishwa rasmi mahakamani leo...
11 Reactions
40 Replies
1K Views
  • Redirect
Kama ni hatua Kali zichukuliwe kwa hawa viongozi wa chadema wamekuwa wakitoa kauli ambazo zimekosa uzalendo ambazo ni kichocheo cha VURUGU. Hata mwaka Jana wahusika wakuu ni viongozi wa chadema...
0 Reactions
Replies
Views
https://www.youtube.com/watch?v=0OJXfGzcMgk
0 Reactions
0 Replies
84 Views
Real Stephen Wasira, bado anatumwa kuiubili injili ya ccm na mauaji yaliyojitokeza 29.10? Dr. Samia soma alama za nyakati huyo atumwe kigoma, sumbawanga, mbagara ILA akija Kilimanjaro tafadhali...
3 Reactions
18 Replies
274 Views
TAMU: Mimi binafsi chuo cha ualimu kilinijengea maadili ambayo mpaka sasa yananifanya niaminike na jamii inayonizunguka. Asante sana wakufunzi wangu. Chungu; vishawishi vya kimapenzi aisee...
1 Reactions
1 Replies
177 Views
Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, ameweka wazi mpango mkakati wa ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta ghafi (Refinery) kitakachohudumia...
6 Reactions
18 Replies
596 Views
Binadamu ni wabinafsi sana. Kuna watu wanafanya mambo utadhani wataishi milele hapa duniani. Tukiwa hatujapoa na ile ya mtoto wa Mombo kutuoneshea dole la kati akiwa kabeba maburungutu ya...
15 Reactions
29 Replies
1K Views
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama...
11 Reactions
417 Replies
14K Views
1. Mheshimiwa Paul Peter Kimiti (Mbunge Mstaafu -Sumbawanga Mjini) ni mwanasiasa mkongwe nchini, nusura aule nafasi ya Waziri Mkuu. Ila kutokana na kukosa kifua akaenda kuropoka kwa mkewe na mke...
14 Reactions
44 Replies
6K Views
Wanaukumbi. (✍️ MAANDAMANO YA DIASPORA YAMEBUMA.. NI HUZUNI NA AIBU.. Maandamano ya wanaojiita diaspora huko Marekani yamebuna vibaya sana na kwa kweli ni huzuni tupu. Tumekuwa tunawaambia muda...
5 Reactions
130 Replies
4K Views
Hamjambo Wote! Moja ya changamoto tulizonazo Watanzania na watu weusi ni kukimbia wajibu(uwajibikaji). Utegezi. Uvivu. Fikiria Mwanamke anaona wajibu wa maisha yake, mahitaji Yake ya msingi ati...
7 Reactions
20 Replies
323 Views
Back
Top Bottom