Mauzo ya Asali Tanzania Yapaa kwa 68.4%!

Mauzo ya Asali Tanzania Yapaa kwa 68.4%!

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
771
Reaction score
689
Thamani ya mauzo ya asali imeongezeka kutoka Sh bilioni 11.4 mwaka 2024 hadi kufikia Sh bilioni 19.2 mwaka 2025, ikiwa ni ongezeko la asilimia 68.4.

Mafanikio hayo yanaendelea kuimarisha hadhi ya Tanzania katika soko la kimataifa la asali.
20260516_135320.jpg
 
Hata ikipaa asilimia mia moja haina msaada km ufisadi ni gonjwa kuu ambalo ccm wameshndwa kutibu wamebaki kuteka na kuua
 
Thamani ya mauzo ya asali imeongezeka kutoka Sh bilioni 11.4 mwaka 2024 hadi kufikia Sh bilioni 19.2 mwaka 2025, ikiwa ni ongezeko la asilimia 68.4.

Mafanikio hayo yanaendelea kuimarisha hadhi ya Tanzania katika soko la kimataifa la asali.View attachment 3589527
Mazao ya misitu mkombozi wa kiuchumi,
well done serikali sikivu ya CCM
 
Back
Top Bottom