Taasisi ya Moody's inayopima Afya ya Uchumi wa Nchi kuweza kuhimili Misukosukoya kiuchumi na uwezo wa kulipa Madeni imesema Uchumi wa Tanzania ni Daraja la B2 plus..
Daraja B2 plus Kiuchumi...
Ikumbukwe design ya kwanza ya Ubungo Interchange ilikuwa nzuri na Kali Hadi kupelekea kuvunjwa Kwa majengo yaliyo jirani ikiwemo Tanesco..
Cha kusikitisha baada ya ujenzi zikaja sarakasi matokeo...
Ilikuwa Dodoma mwaka 2015 nilipokutana na dada anayesoma chuo kikuu Cha IMTU cha kule Dar, alikuja na wenzie field Milembe hospital.
Wakati tunaangalia harakati za kumpata mgombea wa urais kwa...
Wadau nimeshanganzwa sana na kauli ya Waziri mwenye dhamana ya sheria na katiba.
Nilitarajia waziri huyu angekuwa bega kwa bega na wananchi wanaotaka katiba mpya kwani ni haki yao, kauli hii ya...
Nionyeshe rafiki yako nikwambie ulivyo!
Kila mwenye akili timamu katika nchi hii, anajua fika kabisa, ccm yote ni janga la nchi hii!
Mtu akitajwa fisadi, makao makuu ni ccm
Akitajwa mla rushwa...
Sijafahamu Kwa wengine ikiwa hupata haki Kweli kunapotokea shida za kiajira/kikazi katika nchi za kigeni, lakini hii imekuwa ni kinyume kabisa Kwa balozi zetu zilizoko Abdhabi,
Mwaka 2016, Mzee...
Kampuni ya Tembo Nickel imelipa zaidi ya Shilingi Bilioni 6.7 mwaka jana ikiwa ni kodi ya leseni za kuendesha kampuni hiyo.
Meneja Mkuu wa Tembo Nickel, Manny Ramos amesema kampuni hiyo pia...
Ninaandika kwa mara nyingine kuhusu jambo hili ambalo wengi wenu hamtapenda kulisikia. Naandika kama mzalendo kwa nchi yangu Tanzania na sina interest nyingine yoyote kibiashara katika jambo hili...
All Africa.com News inarupoti kwamba Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed na Waasi wa Oromo wanatarajia kuanza Mazungumzo ya amani Nchini Tanzania..
Huu ni Ushindi mwingine wa Tanzania na Rais...
Moja la changamoto kubwa ya miradi ya madini Nchini Tanzania ni uwepo wa CSR Programu zinazofanana katika maeneo yote ya migodi "Social responsibility Model".
Wakati migodi mingi imezungukwa na...
Moja, Katiba mpya itakayoandikwa haitaweka uhuru na haki zisizoingiliwa kwa makundi yote ya watu. Kwa sehemu kubwa naona katiba mpya kwa sasa itaegemea zaidi katika kinachoitwa 'maadili ya...
MHE. ESTHER MALLEKO - UCHAFUZI WA MAZINGIRA NI CHANGAMOTO KWA TAIFA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Esther Edward Malleko leo tarehe 24 Aprili 2023 amechangia hotuba ya Bajeti...
Habari zenu wanajamvi,
Huyu Abdul nadhani atakua kasahau ama amekengeuka kidogo kwenye hili, binafsi nakumbuka kipindi cha awamu ya 4 waislam walishawahi kufanya hicho kitu na wakawa blocked...
Kaimu Mkurugenzi wa halmashauri ya jiji la Arusha, Hargney Chitukuro amesema kuwa mwaka huu hakuna mwanafunzi aliyekosa kuingia darasani kwa kukosa chumba cha darasa au dawati. Amesema...
Tanzania sisi tunacheza na fursa na kuishia kuwa maskini.
Yaani kwenye bandari kubwa 10 hayupo hata top 20 achilia mbali top 10 yet tunabishana kuhusu kujenga Bandari ya Bagamoyo..
1...
Tanzania kupitia Bodi ya Filamu imesaini Mkataba wa Makubaliano ya Ushrikiano na Taasisi ya Mashirikiano ya Kimataifa (BFIC) kutoka nchini Korea Kusini kwa ajili ya uendelezaji wa tasnia ya Filamu...
Habari zenu Macomrade. Bila Shaka Kila Mmoja anaendelea na Mapambano ya Maisha yake.
Uvccm Ina pande mbili
1. Wapo vijana wazalendo ila ni Waoga.
Hili ni kundi la vijana Wasomi lakini wamejawa...
Rais Samia ameyasema hayo akihutubia kwenye Baraza la Eid ambapo amesema kuna usasa na tunaona ndio maendeleo na ustaarabu, akisema tunatakiwa kwenda na usasa kwa kuendana na tamaduni zetu na...
Nimeshangaa sana leo kukuta Watu kwenye Kijiwe cha Bodaboda wakijadili ripoti ya CAG na kudai hela anayodai Mpina imeibwa na Waziri wa fedha zingetosha kuwanunulia Bajaji Moja moja Bodaboda wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.