Abdul Nondo: Hakuna mtu aliyewahi kuthubutu kuandamana kwenda Ikulu zaidi ya ACT Wazalendo

Habari zenu wanajamvi...
Huyu Abdul nadhani atakua kasahau ama amekengeuka kidogo kwenye hili, binafsi nakumbuka kipindi cha awamu ya 4 waislam walishawahi kufanya hicho kitu na wakawa blocked!. Asijikweze, yupo anabwabwaja saizi Clouds 360.
Kwahiyo waislam ndo wa kwanza kuandamana,
itakusaidia nini hii
 
Habari zenu wanajamvi,

Huyu Abdul nadhani atakua kasahau ama amekengeuka kidogo kwenye hili, binafsi nakumbuka kipindi cha awamu ya 4 waislam walishawahi kufanya hicho kitu na wakawa blocked!

Asijikweze, yupo anabwabwaja saizi Clouds 360.
Aseme kujaribu? Walifika wapi?
 
Wanaume hawapangiwi mambo yaoo bwana mdogo anaonyesha wazi kabisa yeye ni kiongozi mwacheni apambanie njia yake kipo kitu mbeleni mwake uoga uoga hauwezi kukukomboa popote palee
 
Angalau abdul nondo ameonesha uthubutu tofauti na watz wengi waoga.Abdul komaa tuko nyuma yako tunakuunga mkono maandamano kuelekea ikulu.Ikulu ya awamu hii inamatumizi mabaya ya pesa za umma.Tirillioni na trillioni zinapotea kila siku huku chawa wakimpamba
 
Habari zenu wanajamvi,

Huyu Abdul nadhani atakua kasahau ama amekengeuka kidogo kwenye hili, binafsi nakumbuka kipindi cha awamu ya 4 waislam walishawahi kufanya hicho kitu na wakawa blocked!

Asijikweze, yupo anabwabwaja saizi Clouds 360.
Hata BAWACHA waliwahi fanya hivyo chini ya Halima Mdee enzi hizo Rais ni JK, wakakamatwa na virungu juu. Hawa watoto hawajui historia kabisa wanadhani struggle zimeanza Jana?
 
Back
Top Bottom