Kijana yeyote aliye nyuma ya CCM, ni mwizi na mpenda rushwa kama walivyo wakubwa wao!

Trable

JF-Expert Member
Jan 3, 2023
1,783
3,281
Nionyeshe rafiki yako nikwambie ulivyo!

Kila mwenye akili timamu katika nchi hii, anajua fika kabisa, ccm yote ni janga la nchi hii!

Mtu akitajwa fisadi, makao makuu ni ccm

Akitajwa mla rushwa, makao makuu ni ccm

Kijana uliyeko ccm, utakataaje msingi huu wa kizazi na kizazi?

Kijana wa ccm, unaipendea nini ccm kama sio ufisadi tu na kupenda maisha ya rushwa,

Kijana wa ccm, utawezaje kujiokoa na maroho ya ufisadi, rushwa n.k yanayomilikiwa na ccm?

roho ya ufisadi, imefugwa huko utaikwepaje?

maroho ya rushwa yamefugwa hapo makao makuu ya chama, utayaepukaje?

huwezi kuwa safi ndani ya ndoo ya samaki walioharika!

Kijana yeyote wa ccm lazima awe na maroho hayo na hana ujanja kuyaepuka,

Nahitimisha kusema hivi! Huwezi kutafuta ukombozi wa nchi ukiwa ndani ya majeshi yanayoikalia nchi, ni lazima ujitenge nao na uwe na jeshi ambalo litaenda kuyaondoa majeshi ovu ccm
 
Nionyeshe rafiki yako nikwambie ulivyo!

Kila mwenye akili timamu katika nchi hii, anajua fika kabisa, ccm yote ni janga la nchi hii!

Mtu akitajwa fisadi, makao makuu ni ccm

Akitajwa mla rushwa, makao makuu ni ccm

Kijana uliyeko ccm, utakataaje msingi huu wa kizazi na kizazi?

Kijana wa ccm, unaipendea nini ccm kama sio ufisadi tu na kupenda maisha ya rushwa,
Hilo halihitaji kwenda Kwa mganga kulijua, liko wazi kabisa
 
Nionyeshe rafiki yako nikwambie ulivyo!

Kila mwenye akili timamu katika nchi hii, anajua fika kabisa, ccm yote ni janga la nchi hii!

Mtu akitajwa fisadi, makao makuu ni ccm

Akitajwa mla rushwa, makao makuu ni ccm

Kijana uliyeko ccm, utakataaje msingi huu wa kizazi na kizazi?

Kijana wa ccm, unaipendea nini ccm kama sio ufisadi tu na kupenda maisha ya rushwa,
Chama Cha Mafisadi
 
CCM ni kisima cha wizi,urafi ufisadi na rushwa.Kwa Bahati mbaya kabisa Bado tuna kizazi hapa Tanzania bado kinaamini CCM inaweza kuleta mabadiliko na kuiendeleza nchi.Ukweli ni kwamba kama tunataka kuona maendeleo,sharti tuondoe CCM kwanza vinginevyo watu wale wale,kutoka koo zilezile wataendelea kututawala na kuiba kwa kutumia mbinu zilezile walizotumia baba zao.
 
Wakong'ote nyundo za vichwa hadi sehemu ya ubongo inayowaza rushwa iyeyuke😂
 
CCM ni kisima cha wizi,urafi ufisadi na rushwa.Kwa Bahati mbaya kabisa Bado tuna kizazi hapa Tanzania bado kinaamini CCM inaweza kuleta mabadiliko na kuiendeleza nchi.Ukweli ni kwamba kama tunataka kuona maendeleo,sharti tuondoe CCM kwanza vinginevyo watu wale wale,kutoka koo zilezile wataendelea kututawala na kuiba kwa kutumia mbinu zilezile walizotumia baba zao.
Ukoo wa panya,babu,baba,mtoto,bibi mama ,mtoto misi🏃🏃.
 
Nionyeshe rafiki yako nikwambie ulivyo!

Kila mwenye akili timamu katika nchi hii, anajua fika kabisa, ccm yote ni janga la nchi hii!

Mtu akitajwa fisadi, makao makuu ni ccm

Akitajwa mla rushwa, makao makuu ni ccm

Kijana uliyeko ccm, utakataaje msingi huu wa kizazi na kizazi?

Kijana wa ccm, unaipendea nini ccm kama sio ufisadi tu na kupenda maisha ya rushwa,
Hapa upo sahihi kbs ✔️✔️ akina johnthebaptist na genge lake hili linawahusu!!
 
Nionyeshe rafiki yako nikwambie ulivyo!

Kila mwenye akili timamu katika nchi hii, anajua fika kabisa, ccm yote ni janga la nchi hii!

Mtu akitajwa fisadi, makao makuu ni ccm

Akitajwa mla rushwa, makao makuu ni ccm

Kijana uliyeko ccm, utakataaje msingi huu wa kizazi na kizazi?

Kijana wa ccm, unaipendea nini ccm kama sio ufisadi tu na kupenda maisha ya rushwa,

Kijana wa ccm, utawezaje kujiokoa na maroho yanayomilikiwa na ccm?

roho ya ufisadi, imefugwa huko utaikwepaje?

maroho ya rushwa yamefugwa hapo makao makuu ya chama, utayaepukaje?

huwezi kuwa safi ndani ya ndoo ya samaki walioharika!

Kijana yeyote wa ccm lazima awe na maroho hayo na hana ujanja kuyaepuka,

Nahitimisha kusema hivi! Huwezi kutafuta ukombozi wa nchi ukiwa ndani ya majeshi yanayoikalia nchi, ni lazima ujitenge nao na uwe na jeshi ambalo litaenda kuyaondoa majeshi ovu ccm
 
Nionyeshe rafiki yako nikwambie ulivyo!

Kila mwenye akili timamu katika nchi hii, anajua fika kabisa, ccm yote ni janga la nchi hii!

Mtu akitajwa fisadi, makao makuu ni ccm

Akitajwa mla rushwa, makao makuu ni ccm

Kijana uliyeko ccm, utakataaje msingi huu wa kizazi na kizazi?

Kijana wa ccm, unaipendea nini ccm kama sio ufisadi tu na kupenda maisha ya rushwa,

Kijana wa ccm, utawezaje kujiokoa na maroho yanayomilikiwa na ccm?

roho ya ufisadi, imefugwa huko utaikwepaje?

maroho ya rushwa yamefugwa hapo makao makuu ya chama, utayaepukaje?

huwezi kuwa safi ndani ya ndoo ya samaki walioharika!

Kijana yeyote wa ccm lazima awe na maroho hayo na hana ujanja kuyaepuka,

Nahitimisha kusema hivi! Huwezi kutafuta ukombozi wa nchi ukiwa ndani ya majeshi yanayoikalia nchi, ni lazima ujitenge nao na uwe na jeshi ambalo litaenda kuyaondoa majeshi ovu ccm
kwahiyo wewe sio mwizi?
 
Upuuzi mtupu!
 
Hizi ni tuuma nzito Kwa Kweli tusaidie taifa embu tusaidie ku orodhesha hao vijana Ili umma wa Watanzania tuwafahamu.........

Wasalaam
 
Back
Top Bottom