ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,119
- 49,843
Tanzania sisi tunacheza na fursa na kuishia kuwa maskini.
Yaani kwenye bandari kubwa 10 hayupo hata top 20 achilia mbali top 10 yet tunabishana kuhusu kujenga Bandari ya Bagamoyo..
1. Tangier-Morroco,
2. Durban-South Africa
3. Port Said -Egypt,
4. Port Elizabeth -South Africa
5. Mombasa-Kenya
6. Casablanca -Morroco
7. Djibouti -Djibouti
8. Lome-Togo
9. Abidjan -CodeIvoire
10. Tema-Ghana.
Sielewi mabishano yetu yanalenga kumkoa nani ,wenzetu Senegal wameipa kandarasi DP World Dubai kujenga Bandari kubwa kabisa West Afrika Kwa Tilioni 3.
Watanzania tuamke tuache ujinga, Maendelea hayatusibiri na umaskini Kwa watu Wetu sio sifa ni laana za kujitakia,tunazidiwa na Nchi ndogo kama Togo,Ghana