Kwa kauli ya Waziri wa Sheria na Katiba, CHADEMA acheni maridhiano hakuna Katiba Mpya

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
2,400
4,074
Wadau nimeshanganzwa sana na kauli ya Waziri mwenye dhamana ya sheria na katiba.

Nilitarajia waziri huyu angekuwa bega kwa bega na wananchi wanaotaka katiba mpya kwani ni haki yao, kauli hii ya Waziri ni kauli ya Serikali na kama ni ya Serikali basi hata Rais anahusika.

Nipende kuchukua nafasi hii kuwataka viongozi wa CHADEMA waachane na maridhiano na CCM kwani kama waziri wa sheria anakuja na kauli hizi ni wazi CCM haina nia njema na katiba mpya.

Wananchi ndio wenye katiba wananchi walitoa maoni na mapendekezo yao kwa tume ya warioba jinsi wanavyotaka katiba yao iwe hao wabunge watakataaje katiba ya wananchi?

Waliokataa pendekezo la katiba ya warioba ni CCM na wabunge wake kwani hawataki katiba mpya, suala la katiba mpya kutokumaliza changamoto sio hoja kwani katiba iliyopo imemaliza au ndio imeongeza na kuleta changamoto?

Suala la changamoto lipo tu halikwepeki kwani hata Biblia na Quran zina changamoto.

CHADEMA maridhiano yenu na CCM hayana tija wenzenu hawataki katiba mpya.

20230424_090339.jpg
20230424_090104.jpg
 
Kama katiba ni takwa la wananchi na dola (the state) bas itapatikana!

Lakini kama ni takwa la serikali na chama bas wata spin hadi wachakachue watakavyo!

Si wanaccm makini tunasubiri kuona kama dola itakubali kubagazwa na wanaccm uchwara waitwao wahuni hadi katiba isipatikane!!!?

Tusubiri
 
Wadau nimeshanganzwa sana na KAULI ya WAZIRI mwenye Dhamana ya SHERIA na KATIBA .

Nilitarajia Waziri huyu angekuwa Bega kwa Bega na Wananchi wanaotaka KATIBA MPYA kwani ni HAKI yao.KAULI hii ya WAZIRI ni KAULI ya SERIKALI na kama ni ya SERIKALI basi hata RAIS anahusika.

Nipende kuchukua NAFASI HII kuwataka VIONGOZI wa CHADEMA WAACHANE na MARIDHIANO na CCM kwani Kama WAZIRI wa SHERIA anakuja na KAULI hizi ni WAZI CCM haina nia njema na KATIBA MPYA .

WANANCHI ndio wenye KATIBA wananchi walitoa MAONI na MAPENDEKEZO yao kwa TUME ya WARIOBA jinsi Wanavyotaka KATIBA YAO iwe hao WABUNGE watakataaje KATIBA ya WANANCHI?

Waliokataa PENDEKEZO la KATIBA ya WARIOBA nu CCM na Wabunge wake kwani HAWATAKI KATIBA MPYA.SUALA la KATIBA MPYA kuyokumaliza CHANGAMOTO sio Hoja kwani KATIBA ILIYOPO IMEMALIZA au ndio imeongeza na kuleta CHANGAMOTO?

Suala la Changamoto lipo tu halikwepeki kwani hata BIBLIA NA QOURAN zina CHANGAMOTO.
CHADEMA MARIDHIANO yenu na CCM hayana TIJA Wenzenu HAWATAKI KATIBA MPYA.
View attachment 2597754View attachment 2597755
Kwa kifupi hakuna chama pinzani Tanzania. CCM ni chama kikubwa sana na mwenye sauti Kwa vyama vyote. Wao wananogewa na Ruzuku na INSERNTIVES NYINGINE.
 
Kwani hata sisi CHADEMA tulikwambia tunahitaji katiba mpya, ile ni gia ya kupata buyu la asali ww
 
Kweli katiba mpya nikwaajili ya Chadema? Wacha CCM waendelee kutunyoosha.
 
Wadau nimeshanganzwa sana na kauli ya Waziri mwenye dhamana ya sheria na katiba.

Nilitarajia waziri huyu angekuwa bega kwa bega na wananchi wanaotaka katiba mpya kwani ni haki yao, kauli hii ya Waziri ni kauli ya Serikali na kama ni ya Serikali basi hata Rais anahusika.

Nipende kuchukua nafasi hii kuwataka viongozi wa CHADEMA waachane na maridhiano na CCM kwani kama waziri wa sheria anakuja na kauli hizi ni wazi CCM haina nia njema na katiba mpya.

Wananchi ndio wenye katiba wananchi walitoa maoni na mapendekezo yao kwa tume ya warioba jinsi wanavyotaka katiba yao iwe hao wabunge watakataaje katiba ya wananchi?

Waliokataa pendekezo la katiba ya warioba ni CCM na wabunge wake kwani hawataki katiba mpya, suala la katiba mpya kutokumaliza changamoto sio hoja kwani katiba iliyopo imemaliza au ndio imeongeza na kuleta changamoto?

Suala la changamoto lipo tu halikwepeki kwani hata Biblia na Quran zina changamoto.

CHADEMA maridhiano yenu na CCM hayana tija wenzenu hawataki katiba mpya.

View attachment 2597754View attachment 2597755
Umeandika vema kabisa. asante sana. Chadema start thiking to abandon maridhiano!
 
Back
Top Bottom