Jiji la Dodoma linaenda kubeba taswira rasmi ya Makao Makuu ya Nchi kufuatia Serikali kusema itajenga Mnara wa Mashujaa jijini humo.
Kwa Mujibu wa Waziri wa Uratobu na Bunge Jenister Mhagama...
Tufanye yafuatayo:
Kuna njia mbalimbali ambazo zinaweza kutumiwa kukabiliana na wanaofanya ubadhilifu wa fedha za umma katika taifa la Tanzania. Nne kati ya njia hizo ni:
Kuchukua hatua za...
Tunapenda kuchagua viongozi ambao wanaweza kuongea vizuri na kuahidi mambo mengi, lakini hatujali sana kuhusu uwezo wao wa kutekeleza ahadi hizo.
Uongozi ni vitendo na utekelezaji wa mipango...
Wana Dar es Salaam tuna changamoto nyingi sana. Lakini ya barabara imekithiri sana. Tunaomba ziara Dar es Salaam tukueleze shida zetu. Dar es Salaam ina barabara zinachongwa kwa mwaka zaidi ya...
Hayati Magufuli aliingia Hazina kukiwa kumepigwa sana hamna kitu, Samia naye ameingia watu wamepiga sana pesa Hazina hakuna kitu.
Watu wanajua wakati wa Uchaguzi ndio wakati wa kupiga pesa za...
Hii nchi kuna wakati unajiuliza mpaka unakata tamaa.
Ili nchi iendelee ni lazima kuwepo na maendeleo ya fikra. Fikra zinapodumaa au kukosa maendeleo, ndiyo mwanzo wa kudumaa kwa maendeleo.
Mtu...
Wapi amezipata milioni 510 kuwekeza kwenye soka tu, mshahara wake ni shilingi ngapi, tuanzie hapa
Mtu ametoka kwenye ualimu juzi tu leo anamiliki timu ya mpira wa millioni 510 hiyo ni mpira tu...
Ndg wanajamii Kuna mambo yanaendelea lakin ukweli ni maslahi pekee.
Sasa pamoja na challenge zote Bado Kuna matatizo ya kimfumo.
Mwl na koi saw key performance indicator zitapatikana vyuoni au...
Ni kweli Serikal haina dini lakini hiyo haimaanishi Serikal isisaidie Makanisa au Misikiti
Kwa nyakati mbalimbali hasa za maafa Makanisa, Misikiti na Majamati wamekuwa wakijitolea kuisaidia...
Heri ya idd ndugu zangu.
Tanzania ni moja ya nchi chache Sana duniani ambazo tunatengeneza Magari halafu official state car bado tunatumia gari za nchi nyingine.
Viongozi wakuu wa nchi za...
Hii week hatimae imeisha, ni jambo la kushukuru Mungu. Kwa upande wa CCM mambo si haba, at least wamethibitisha haya machache japo kwa kutuhumiana na kushutumiana!
1. Wabunge wa CCM wanawatuhumu...
Magonjwa yanayoangukia kwenye 'haemorrhagic fever" huwa siyo ya kupuuza, labda tu huko ambako watu hujifungua mawe.
"Huko hata ule mwingine kutokea pande za Wuhan, uliwahi kuitwa kaupepo."...
Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , ametuma salamu za Idd kwa Waislam wote Nchini Tanzania , amewataka Waislam wote kusherehekea siku hii kwa amani na utulivu .
Mbowe ambaye pia anajulikana...
Magufuli alikuwa mbishi tu. Alishauriwa kuwa hawa wapinzani kula nao. Usiwaache na njaa. Hizi kelele ni sababu wana njaa. Hakusikiliza akasema yeye hawezi ishi kinafiki.
Matokeo yake tukayaona...
Mtoto aliyesaidiwa matibabu na Rais Samia atoa simulizi ya kusisimua
* Asema watu wazima, watoto walimkimbia kutokana na maradhi yake ya ajabu
* Amwaga shukrani kwa Rais Samia kugharamia...
Wanabodi,
Hukumu ya mahakama ya Kisutu dhidi ya viongozi wa Chadema imeibua mengi, yakiwemo mazuri, mabaya, na mengine ni ya kawaida.
Miongoni mwa mambo mabaya ya ajabu kuhusu kesi hii, ni...
Kabla ya kusaliti , Ibrahim Lipumba ambaye ni Mwenyekiti wa Chama kilichokufa cha Cuf ilikuwa ni kawaida kumuona hadharani akishiriki shughuli za kijamii , ikiwemo kushiriki Ibada misikitini , Kwa...
Mapema asubuhi ya leo kada mwengine wa CCM ndugu Pereira Ame Silima amejitokeza katika ofisi kuu za Chama cha Mapinduzi Kisiwandui na kuchukua fomu Idadi ya wagombea wa kuteuliwa kugombea urais...
Kigoma ni kati ya mikoa iliyokua inasifika kwa ubovu wa barabara na hakukua na maendeleo yeyote ni kama ulisahaulika lakini Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani amefanikiwa kupeleka miradi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.