Zitto alipendekezwa na Membe nafasi ya Ubalozi Ujerumani

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
18,932
31,178
Zitto Kabwe: Nilipokuwa nina mgogoro ndani ya CHADEMA Membe alinihurumia akataka kunipa Ubalozi wa Ujerumani!

KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema wakati akiwa na mgogoro ndani ya CHADEMA huku ajitafakari kuanzisha chama, Mzee Membe alimuita akamwambia asihangaike Ubalozi wa Ujerumani uko wazi ataongea na Kikwete ili amteue awe Balozi wetu nchini Ujerumani.

My take: Tukiwaambia Zitto ni mtu wa system msibishe.
 
Zitto Kabwe: Nilipokuwa nina mgogoro ndani ya Chadema Membe alinihurumia akataka kunipa Ubalozi wa Ujerumani!

KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema wakati akiwa na mgogoro ndani ya Chadema huku ajitafakari kuanzisha chama mzee Membe alimwita akamwambia asihangaike Ubalozi wa Ujerumani uko wazi ataongea na Kikwete Ili amteue awe Balozi Wetu nchini Ujerumani.

My take,

Tukiwaambia Zitto ni mtu wa system msibishe.
Aiseeeee !! sasa baada ya hapo ikawaje ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Zitto Kabwe: Nilipokuwa nina mgogoro ndani ya Chadema Membe alinihurumia akataka kunipa Ubalozi wa Ujerumani!

KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema wakati akiwa na mgogoro ndani ya Chadema huku ajitafakari kuanzisha chama mzee Membe alimwita akamwambia asihangaike Ubalozi wa Ujerumani uko wazi ataongea na Kikwete Ili amteue awe Balozi Wetu nchini Ujerumani.

My take,

Tukiwaambia Zitto ni mtu wa system msibishe.
Tunataka akazikwe nae!
 
Ujerumani ya nyoko au
 
Kuna watu watamtukana Zitto Kwa hili na watakuja kumsafisha Dr Slaa Kwa kupewa ubalozi ...na akianza kurudi watampokea pia
 
Hukuona baada ya press conference ya Dr Mihogo pale Serena alizawadiwa ubalozi.

Nilimshangaa sana yule Katibu Mkuu wa chama kikubwa cha upinzani kukubali uDC !.
Haha kutoka ukatibu mkui wa chama hadi kuwa DC? Tena with PhD? Duhhh
 
Back
Top Bottom