Moja, Katiba mpya itakayoandikwa haitaweka uhuru na haki zisizoingiliwa kwa makundi yote ya watu. Kwa sehemu kubwa naona katiba mpya kwa sasa itaegemea zaidi katika kinachoitwa 'maadili ya...
MHE. ESTHER MALLEKO - UCHAFUZI WA MAZINGIRA NI CHANGAMOTO KWA TAIFA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Esther Edward Malleko leo tarehe 24 Aprili 2023 amechangia hotuba ya Bajeti...
Habari zenu wanajamvi,
Huyu Abdul nadhani atakua kasahau ama amekengeuka kidogo kwenye hili, binafsi nakumbuka kipindi cha awamu ya 4 waislam walishawahi kufanya hicho kitu na wakawa blocked...
Kaimu Mkurugenzi wa halmashauri ya jiji la Arusha, Hargney Chitukuro amesema kuwa mwaka huu hakuna mwanafunzi aliyekosa kuingia darasani kwa kukosa chumba cha darasa au dawati. Amesema...
Tanzania sisi tunacheza na fursa na kuishia kuwa maskini.
Yaani kwenye bandari kubwa 10 hayupo hata top 20 achilia mbali top 10 yet tunabishana kuhusu kujenga Bandari ya Bagamoyo..
1...
Tanzania kupitia Bodi ya Filamu imesaini Mkataba wa Makubaliano ya Ushrikiano na Taasisi ya Mashirikiano ya Kimataifa (BFIC) kutoka nchini Korea Kusini kwa ajili ya uendelezaji wa tasnia ya Filamu...
Habari zenu Macomrade. Bila Shaka Kila Mmoja anaendelea na Mapambano ya Maisha yake.
Uvccm Ina pande mbili
1. Wapo vijana wazalendo ila ni Waoga.
Hili ni kundi la vijana Wasomi lakini wamejawa...
Rais Samia ameyasema hayo akihutubia kwenye Baraza la Eid ambapo amesema kuna usasa na tunaona ndio maendeleo na ustaarabu, akisema tunatakiwa kwenda na usasa kwa kuendana na tamaduni zetu na...
Nimeshangaa sana leo kukuta Watu kwenye Kijiwe cha Bodaboda wakijadili ripoti ya CAG na kudai hela anayodai Mpina imeibwa na Waziri wa fedha zingetosha kuwanunulia Bajaji Moja moja Bodaboda wote...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Mwigulu Nchemba akijibu hoja za Wabunge ndani ya Bunge amejitapa kuwa anajua anachokifanya maana PhD yake ni ya kusomea na siyo kupewa.
Namnukuu
'Hapa tunatisha...
Naona Rais wetu unaamini kukaa meza moja na chadema hasa Mbowe ndio unapata amani ya kuongoza taifa,si kweli kabisa.
Rais Samia unaatakiwa utafute suluhu ya kero za watanzania wengi maskini wenye...
Dear Viongozi,
Ukuaji wa GDP (Gross Domestic Product) haupaswi kutegemea michezo ya kamari au betting. GDP ni kipimo cha thamani ya bidhaa na huduma zote zinazozalishwa katika nchi ndani ya...
Kwa wiki mbili sasa Viongozi wamekuwa wakisisitiza sana sisi Wananchi tuwaombee
Na hapa hata hawawatambui Viongozi wa Dini ndio wawaombee bali siye akina Daudi Mchambuzi
Sasa hawa Viongozi...
Mdawi Ni KIJIJI Kilicho Mkoani Kilimanjaro Wilaya Ya Moshi Vijijini Kata Ya Kimochi.
Ni Kijiji Kongwe Kutokana Na Historia Yake Ambayo Kwa Leo Sitaelezea Historia Hiyo.Ni Kijiji Kinachopakana Na...
Ni siku nyingine Mwenyezi Mungu ametujalia kuiona, tukiwa wazima wa afya na amani ya kutosha. Mungu ni mwema nyakati zote.
Kama ilivyo kawaida, waona mbali huwa hawaeleweki kwa 'matomaso' na hawa...
Hayati Julius Nyerere alipotabiri kuwa upinzani wa kweli utatokea ndani ya CCM alitatabiri vyema kabisa maana mpaka sasa hakuna upinzani dhidi ya CCM pamoja na multiparty system kuanzishwa hapa...
Wanabodi,
Tuache siasa, na tusemezane au tuambiane ukweli, iwapo CCM itashinda tena uchaguzi wa mwaka huu, ushindi huo wa CCM, jee utatokana na Watanzania kufanya informed decision kufuatia CCM...
Karibu kufuatilia yanayojiri Bungeni leo Aprili 24, 2023 kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 12.
Mbunge Prof. Shukrani Elisha ameonesha masikitiko kwa Ofisi ya Mkamu wa Rais, Mazingira...
Huyu Nape anaonekana kama kajiniazi fulani. Ana charisma, hata akiongea ni kama anaongea kwa kunata na biti na madaha.
Na kale kamiwani kake, na venye anamkonga samia, basi ni vyema awe Rais wetu...
Kada wa CCM ambaye pia ni Rais wa Chama cha Wacheza Bao mzee Monday Likwepa amesema hakuna Mwananchi wa Ukonga aliyemtuma Jerry Slaa aiombe Serikal iongeze Bei ya Mafuta
Likwepa amesema ni Tabia...