Wabunge trick wanazo tumia ni kupitisha kila kitu pale Dodoma wakijua kabisa hakihusiani na Jimbo, na walisha jua Jimboni wananchi wanataka Tangible na sio Policy.
Ndio maana huwezi ona mbunge...
Habari JF,
Baada ya uelekeo wa kubinafsishwa bandari yetu ya DSM, nimejaribu kuangalia kwa undani miaka 100 ni mingi kiasi gani.
1. Hivi unajua nchi tangu imepata uhuru na awamu zake sita zote...
Sikwenda Dodoma ingawa ni Mjumbe wa Mkutano ule. Tena Mjumbe jembe, kada nisiye wa kawaida. Lakini, nimesikia na kuona kuwa kura za Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti Bara na Makamu Mwenyekiti Zanzibar...
Habari wapendwa,
Lao bajeti ya Wizara ya Habari ilikuwa ikisomwa Bungeni.
Lakini kabla ya Bajeti hiyo kulikuwa na utambulisho wa Watu mbalimbali.
Moja kati ya waliotambulishwa ni Vicent Kigosi...
Namna Samia alivyojiingiza kwenye mpira wa Simba na Yanga kila mtu anafahamu, sina haja ya kurudia.
Licha ya kujipenya kama Rais hatimaye imebainika kwamba amejipenyeza kama Mwenyekiti wa Chama...
Katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi ya Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, Khamis Mbeto amesema tayari chama hicho kupitia tawi la CCM Mwera kimemuita mwanachama wake, Balozi Ali Karume kwa mahojiano...
ALEXANDER MNYETI ATAKA TANGA CEMENT IRUDI KUWA MALI YA SERIKALINI
Mbunge wa Jimbo la Misungwi Mhe. Alexander Pastory Mnyeti tarehe 04 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia suala la Tanga Cement...
Mwezi uliopita nilikuwepo nchini msumbuji, nilibahatika kukutana na baadhi ya watanzania waliopo nchini hapo na kupiga nao stori na kuulizana changamoto za hapa na pale, ila kuna hii walionielezea...
Nihakikishie ulinzi na kupita kwenye uchaguzi tutayajenga.
Ndio sababu hata watawale miaka 1000 faida zitokanazo na Rasilimali za Nchi hamtaziona kamwe.
Mikataba ya Siri, vikao vya siri...
Kunatafutwa namna ya kusema wananchi waliunga mkono.
Wananchi wana ambiwa watoe mawazo kuhusu ubinafishaji bila kuweka wazi mkataba sasa mawazo yao hasa ni ya nini?
Mama Tanzania,
Chochote tufanyacho kama nchi, we are not re-inventing a new wheel, maana yake hicho kitu kuna sehemu kimefanywa, kimefanywa vizuri na kwa ubora na watu wa hiyo sehemu wakayaona...
Inashangaza na kustaajibisha DC Albert Msando kutushikilia wachimbaji wadogo ili tusulubishwe na mwekezaji mwenye leseni ndogo ya uchimbaji ndugu Godfrey Bitesigwire...
Mkoani Tanga Wilaya ya...
Bunge la Jamhuri ya Tanzania mwaka huu linatarajia kujadili na kupitisha mkataba wa Kiserikali kati ya Tanzania na Dubai kuhusu kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam, Hili litaweka mazingira ya...
Wanabodi,
Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo huwa na swali, na hoja, halafu jibu tulitoa wewe mwenyewe.
Moja ya matatizo makubwa ya nchi yetu ni kutokuwa na kitu...
Bunge limepitisha makadirio na mapato ya mapato na matumizi ya Shilingi 35,445,041,000 ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2023/2024 kwa lengo la katika kuwahudumia...
Kiukweli mie ni mmoja wa waliofurahishwa na mchakato wa kubinafsishwa bandari ya Dar es salaam.
Wadau sote tunajua kuna uvujaji mkubwa wa mapato pale port unaotokana na urasimu, ucheleweshaji...
Asalaam Aleykum wana JF wenzangu.
Ama baada ya Salamu hizo za upendo, naomba niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.
Kama Mtanzania Mzalendo kwa nchi yangu (na uzalendo ni pamoja na...
Hili ni jambo lililopangwa kwa haraka sana na tayari kwa asilimia 98 limekamilika .
Hii ndio ile mitaani tunasema "MAREHEMU HAKUOMBA HATA MAJI YA KUNYWA"
Kuwa kiongozi mkuu wa muhimili mmoja mkubwa kati ya mitatu sio nafasi ndogo. Mzee alikuwa kwenye position ambayo kuna mambo lazima ayajue hata miezi, mwaka au miaka kadhaa kabla yetu sisi raia wa...
Kwa ufupi sana JPM alitamani kuona Wafanyakazi nchi hii wanaishi kama mizuka, mizimu au mazombi.. hakuna ajuae ni kosa Gani haswa aliwahi kufanyiwa na watumishi wa nchi hii, yapo mambo ambayo mama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.