Tundu Lissu: Mikataba ya Kibiashara kama SGR au Bwawa la Nyerere huwa haiendi Bungeni, inayoenda ni ile yenye Athari kwa Sheria za Nchi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,106
Makamu Mwenyekiti wa Chadema ambaye pia Wakili Maarufu nchini mh Tundu Antipas Lissu amesema Ukiona Mkataba unapelekwa bungeni ukaridhiwe Ujue Mkataba huo una Athari kwa Sheria za nchi hivyo inaenda ama kutungiwa sheria au wenyewe kufanywa Kuwa sheria

Lissu amesema mikataba ya kibiashara kama ile ya Shujaa ya SGR au Bwawa la Nyerere huwa haiendi Bungeni.

Kumbe Zitto Kabwe alitaka kutulisha matango pori.

Mlale Unono!
 
Back
Top Bottom