Serikali ya Awamu ya Sita imesimama imara katika kutafuta fehda za miradi mbalimbali ya maendeleo, hivyo juhudi hizo zinapswa kulindwa maendeleo yapatikane kwa haraka katika jamii.
Uwepo wa...
BENKI ya Dunia imeimwagia sifa Tanzania kwa usimamizi mzuri wa uchumi na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayopata fedha kutoka kwenye taasisi hiyo ikilinganishwa na nchi nyingine...
Kwa muda mrefu baada ya kusomwa kwa ripoti za CAG miaka ya nyuma huwa wabadhirifu na wale wote waliotajwa hujificha kwenye kivuli cha uwajibikaji wa kisiasa. "Yaani mhusika anatumbuliwa na mara...
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) ametoa angalizo kwamba kupanda mazao katika maeneo ya Hifadhi ni ukiukwaji wa sheria huku akisisitiza kuwa yeyote atakayebainika...
Kadri siku zinavyoenda ubaya, visasi, utengano na husda baina ya jamii yetu iliyojengewa umoja na upendo hali inaendelea kuwa tete. Si wale wapinzani hata wanaccm, wote wamepata kuonja machungu...
Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema Tajiri Yusuf wa Almathaya ndio aliyemzika Yesu katika kaburi lake la kifahari
Kimaro amesema Kanisa linawahitaji Matajiri kwa sababu ndio...
Huo mfumo tunaotumia sasa wa bunge zima na wabunge wote kujadili kila masuala hautupi tija na pia unaligharimu taifa bila umuhimu wote. Kama huu ndio mfumo wa mabunge ya jumuiya ya madola basi...
(1) Kwanini vitendo vya ushoga vimeshamiri sana katika awamu hii?
(2) Kwanini vitendo vya rushwa, wizi, ufisadi, ubadhirifu, uporaji nk. vimeshamiri sana katika awamu hii?
(3) Kwanini uzembe na...
Mwandishi: Ripoti ya CAG imetoka na majibu ya Rais ni kwamba waliofanya madudu wampishe. Unadhani hiyo ni kauli ya kitendaji au ya kimamlaka?
Lissu: Kwanza wizi na ufisadi ni ule ule wa miaka...
Watanzania wamekereka kweli kweli na wanataka mabadiliko.
Wanataka katiba mpya. Wanataka wabadhirifu wawajibishwe. Wanataka utawala bora, hawataki uwakilishi wa walamba asali au wa wahuni nk...
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amewataka watendaji wa Serikali, kusimamia vema rasilimali za nchi kwa kutumia mifumo na kuweka nidhamu, akisema kinyume na kufanya hivyo ni sawa na kuiua...
Chadema Sasa waja na mbinu ya Kufuturisha Ili kuvutia Watu kwenye Mikutano Yao 😁😁
Inaonesha Wananchi wamechoshwa na hadithi zisizo na matokeo..
Wakubwa wanalamba asali harafu wanakuja kuwapigia...
Msikilize Mbunge wa Kahama akijenga hoja zake, simple and clear na very intelligent.
Huwa namkubali sana huyu Jamaa maana Huwa ana think beyond the status quo..eg Kumuwekea vikwazo daktari...
Baada ya Vladmir Putin kutangaza kuwa Taifa hilo linapinga ndoa za jinsia moja, ilipelekea watu wengi sana wa dunia ya tatu kumuunga mkono licha ya udhalimu wake wa kupeleka majeshi Ukraine...
Na edo kumwembe
Ni nchi ya ajabu kwa mwanadamu makini kuweza kuishi. Ni nchi inayoshangaza sana, ingawa raia wake hawaonyeshi kushangazwa na matukio kadhaa yanayotokea.
Naizungumzia Tanzania...
Kati ya mataifa yaliyofanikiwa sana kwa kipindi kifupi ni Singapore.
Mwaka 1961, wakati tunapata uhuru, Singapore, Malaysia na Thailand, tulikuwa kwenye kiwango kinachofanana cha umaskini. Lengo...
Juzi nililipa kwa dola. Dola ilikuw Tsh 2324. Shilingi ilikuwa imepanda sana. Nikasema safi. Leo nashangaa Dola ni 2345. Sidhani kama shilingi yetu imewahi kushuka namna hii. Pia mbona Ksh nayo...
Ni vigumu wito wa kiongozi wa chama kutenganishwa na chama:
Ingekuwa vyema tukapeana uthibitisho ili japo kujua tunaposimama.
"Ikumbukwe kodi za kufikia nusu ya kwanza ya mwaka huu zilikwisha...
Luhaga Mpina ameamua kujivua gamba.
Inawezekana ni kwakuwa yupo nje ya 18 za upigaji maana alipokuwa waziri sikuwahi kumsikia akiwa na akili kiasi hiki.
Anashangaa hadi leo hii kumuona Mwigulu...