Kipanya: Kwani Yeye anakaguliwa na Nani? Nikimkuta analiwa na Simba namkatia Simba Kachumbari

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,977
141,986
Kipanya umetisha sana

Ni ukweli ulio wazi mafisadi na baadhi ya Viongozi wetu wanamchukia sana CAG baada ya kuwaumbua katika ripoti yake

CAG aongezewe ulinzi

Pia soma > Nani anayekagua na kudhibiti ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG)?

Jumaa kareem!

1681460534357.png
 
Si ajabu sehemu kubwa ya fedha hizo ni kwa ajili ya maandalizi ya chaguzi za 2024 na 2025 kwa chama tawala. Usijekuta wahusika walipata maelekezo na kelele zote hizo ni kiini macho.

Kama huoni maajabu katika kesi ya Sabaya, basi hata hilo hutaona pia. Wote watawajibishwa kisiasa na kuhamishwa vitengo, halafu maisha yaendelee kama kawaida.

Kanuni kuu ni kwamba, yakifanyika mambo mazuri sifa zote na heshima ziende kwa Rais, lakini kwa yale mabaya ameshauriwa vibaya, na wapo wa kuwajibika!

Hii ndiyo Tanzania.
 
Kipanya umetisha sana

Ni ukweli ulio wazi mafisadi na baadhi ya Viongozi wetu wanamchukia sana CAG baada ya kuwaumbua katika ripoti yake....
kwa taarifa yako ofisi ya cag hukaguliwa,ambapo tenda hutangazwa na anayeshinda anapewa kazi ya kuikagua ofisi ya cag
 
Back
Top Bottom