Julius Malema anaongoza maandamano kuunga mkono ushoga na usagaji na kumpinga Rais Museveni

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Kiongozi wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini, Julius Malema, ameongoza maandano akiwa amevaa bendera inayotumiwa na jamii ya wanaounga mkono mapenzi ya jinsia moja akiongoza waandamanaji kumpinga Rais wa Uganda, Yoweri kufuatia kutungwa kwa sheria inayozuia masuala ya mapenzi ya jinsia moja nchini Uganda.

Malema na anaowaongoza katika maandamano wamebeba mabango yanayoonesha haki za "mashoga na wasagaji" ni haki za binadamu na inapaswa waheshimiwe.

Leo nimemvua Malema nyota zote na heshima zote nilizowahi kumpa.

Malema.jpeg
 
LEO NIMEMVUA MALEMA NYOTA ZOTE NA HESHIMA ZOTE NILIZOWAHI KUMPA.
View attachment 2576286
Ana haki asikilizwe
 
Kuna Mtu kamzuia kufanya hayo mambo??
 
Huoni kumvua manyota ni kujivua manyota yako kuwa ulimpa manyoya?
Kwanini ulimpa manyota mtu asie na credibility kwa majibu wako?
Naona ulimpa manyoya kiongozi wangu badala ya manyota
 
Kiongozi wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini, Julius Malema, ameongoza maandano akiwa amevaa bendera inayotumiwa na jamii ya wanaounga mkono mapenzi ya jinsia moja akiongoza waandamanaji kumpinga Rais wa Uganda, Yoweri kufuatia kutungwa kwa sheria inayozuia masuala ya mapenzi ya jinsia moja nchini Uganda.

Malema na anaowaongoza katika maandamano wamebeba mabango yanayoonesha haki za "mashoga na wasagaji" ni haki za binadamu na inapaswa waheshimiwe.

Leo nimemvua Malema nyota zote na heshima zote nilizowahi kumpa.

View attachment 2576286
Kuna umri unafanya harakati hadi unachoka huoni dalili za kutwaa dola inabidi uwe ndumilakuwili ili life isogee. Ndio vijana wengi walivyokwasasa.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Kiongozi wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini, Julius Malema, ameongoza maandano akiwa amevaa bendera inayotumiwa na jamii ya wanaounga mkono mapenzi ya jinsia moja akiongoza waandamanaji kumpinga Rais wa Uganda, Yoweri kufuatia kutungwa kwa sheria inayozuia masuala ya mapenzi ya jinsia moja nchini Uganda.

Malema na anaowaongoza katika maandamano wamebeba mabango yanayoonesha haki za "mashoga na wasagaji" ni haki za binadamu na inapaswa waheshimiwe.

Leo nimemvua Malema nyota zote na heshima zote nilizowahi kumpa.

View attachment 2576286
Huyu ni mwenzenu wana chadema huyu ni kioo cha wa na demokrasia duniani uhuru wa mashoga ,hii ajenda kwa wanademokrasia sio kosa labda wewe kichwa maji kama hujui

USSR
 
Kiongozi wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini, Julius Malema, ameongoza maandano akiwa amevaa bendera inayotumiwa na jamii ya wanaounga mkono mapenzi ya jinsia moja akiongoza waandamanaji kumpinga Rais wa Uganda, Yoweri kufuatia kutungwa kwa sheria inayozuia masuala ya mapenzi ya jinsia moja nchini Uganda.

Malema na anaowaongoza katika maandamano wamebeba mabango yanayoonesha haki za "mashoga na wasagaji" ni haki za binadamu na inapaswa waheshimiwe.

Leo nimemvua Malema nyota zote na heshima zote nilizowahi kumpa.

View attachment 2576286
Kama ni kweli nimemvua nyota zote huyu mshikaji.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Huoni kumvua manyota ni kujivua manyota yako kuwa ulimpa manyoya?
Kwanini ulimpa manyota mtu asie na credibility kwa majibu wako?
Naona ulimpa manyoya kiongozi wangu badala ya manyota
Hebu soma ulichoandika kama utaelewa
 
Kiongozi wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini, Julius Malema, ameongoza maandano akiwa amevaa bendera inayotumiwa na jamii ya wanaounga mkono mapenzi ya jinsia moja akiongoza waandamanaji kumpinga Rais wa Uganda, Yoweri kufuatia kutungwa kwa sheria inayozuia masuala ya mapenzi ya jinsia moja nchini Uganda.

Malema na anaowaongoza katika maandamano wamebeba mabango yanayoonesha haki za "mashoga na wasagaji" ni haki za binadamu na inapaswa waheshimiwe.

Leo nimemvua Malema nyota zote na heshima zote nilizowahi kumpa.

View attachment 2576286
Ngoja lisu akusikie
 
Mm sioni kosa ktk hili. Msimamo wa Museven ulipaswa kuwa ni kutoruhusu ndoa za jinsia moja basi. Lkn kitendo chake cha kuwanyima hata haki ya kupanga nyumba, na kwamba mwenye nyumba atakayewaoangisha ashughurikiwe pia. Nadhani it is too much

Kuendesha adhabu ama mauaji dhidi ya kundi au kabila fulani ni mateso ama mauaji ya kimbali (genocide).
 
Hakuna mzalendo hapo, anatumia watu kama ngazi ya kujinufaisha, huo ni ubinafsi; kusema nyekundu ni nyeupe huo ni ulaghai kwa pesa uliyopewa.
 
Back
Top Bottom