CCM kutawala miaka 60 maana yake anayebadilika ni Rais lakini fikra ni zilezile za Nyerere

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,559
Huo ndio ukweli, ndani ya miaka 60 hatujawahi kutoka nje ya fikra za Mwalimu Nyerere kiuhalisia.

Wale waliokuwa wanaimba "Zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM," ndio hao watoto wao wanatuongoza leo.

Kiufupi CCM kwa maneno na matendo yake ni sawa na dini, ndio sababu ukiisumbua unaitwa na kubatizwa then unatulia.

Kizazi cha kuleta mabadiliko siyo hiki na labda kitakuja baada ya gharika kwa sababu uovu umekithiri na ule mwisho umekaribia.

Jumaa Kareem!
 
Huo ndio ukweli, ndani ya miaka 60 hatujawahi kutoka nje ya fikra za Mwalimu Nyerere kiuhalisia...
Vyovyote iwavyo sisi wazamani tunajua maadili yote yalianza kuporomoka na Nchi kuondoka kwenye msitari wake tangu alipong’atuka Mwalimu.

Sisi tuliokuwepo enzi zile tukiwa na akili zetu timamu tunajua hivyo ila wengine wanao hadithiwa hali ilivyokuwa hawatanielewa kwa sababu watakuwa wanaamini uzushi ambao hawajaushuhudia !!
 
Vyovyote iwavyo sisi wazamani tunajua maadili yote yalianza kuporomoka na Nchi kuondoka kwenye msitari wake tangu alipong’atuka Mwalimu !! Sisi tuliokuwepo enzi zile tukiwa na akili zetu timamu tunajua hivyo ila wengine wanao hadithiwa hali ilivyokuwa hawatanielewa kwa sababu watakuwa wanaamini uzushi ambao hawajaushuhudia !!
Ngoja mashuhuda waje!
 
Huo ndio ukweli, ndani ya miaka 60 hatujawahi kutoka nje ya fikra za Mwalimu Nyerere kiuhalisia.

Wale waliokuwa wanaimba "Zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM," ndio hao watoto wao wanatuongoza leo.

Kiufupi CCM kwa maneno na matendo yake ni sawa na dini, ndio sababu ukiisumbua unaitwa na kubatizwa then unatulia.

Kizazi cha kuleta mabadiliko siyo hiki na labda kitakuja baada ya gharika kwa sababu uovu umekithiri na ule mwisho umekaribia.

Jumaa Kareem!
Mabadiliko hayategemei kizazi bali ni mfumo mpya wa utawala kwa kupata KATIBA mpya hata sasa kama unauchungu mimi na wewe tuanze harakati za katiba
 
Huo ndio ukweli, ndani ya miaka 60 hatujawahi kutoka nje ya fikra za Mwalimu Nyerere kiuhalisia.

Wale waliokuwa wanaimba "Zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM," ndio hao watoto wao wanatuongoza leo.

Kiufupi CCM kwa maneno na matendo yake ni sawa na dini, ndio sababu ukiisumbua unaitwa na kubatizwa then unatulia.

Kizazi cha kuleta mabadiliko siyo hiki na labda kitakuja baada ya gharika kwa sababu uovu umekithiri na ule mwisho umekaribia.

Jumaa Kareem!
FIKRA nazo zinabadika RAIS anapobadilika anakuja na Watu wake wenye fikra tofauti Wakati wa Utawala wa NYERERE hakukuwa na Watu wenye UCHU wa PESA za SERIKALI kama wa sasa.
 
Itakua hukuishi wakati wa Nyerere
 
FIKRA nazo zinabadika RAIS anapobadilika anakuja na Watu wake wenye fikra tofauti Wakati wa Utawala wa NYERERE hakukuwa na Watu wenye UCHU wa PESA za SERIKALI kama wa sasa.
Operesheni Uhujumu Uchumi ya Sokoine ilikuwa awamu gani?
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom