Rais Samia, kwanini machawa wanakuaibisha kiwango hiki?

Chakaza

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
41,009
Reaction score
74,643
Kumbe hata zile zawadi za goli moja milioni 5 hazikuwa zawadi za kutoka moyoni kwa mapenzi yako katika kukuza soka bali ni kampeni ya kutaka kuwin popularity?

Kama sio hivyo kwa nini hawa Chawa wanataka kuwafanya wenye akili wafikiri hivyo wakati sio mawazo yako? Huoni kuwa kwanza wanafanya nchi iwe inakiuka agizo la FIFA kutochanganya siasa na mpira pamoja?

FIFA walifanya hivyo kwa sababu siasa ikichanganywa na mpira yaweza kuleta balaa kubwa.

Kulikuwa na sababu gani Waingize masuala ya zawadi zile hadi kiwanjani kukupigia kampeni kama vile wewe HUKUBALIKI na unategemea ubunifu wao kupeleka jina na picha zako kwenye mchezo ule na mingine?

Wangekuwa wakweli na kukueleza yaliyosemwa kiwanjani jana, hakika ungeruka nao bila huruma.

Niishie kukushauri waambie waachane nawe, huo ni mzigo na wafanyacho ndio kile kule pwani wanasema kuchamba kwingi

IMG-20230417-WA0019.jpg
 
Kulikuwa na sababu gani Waingize masuala ya zawadi zile hadi kiwanjani kukupigia kampeni kama vile wewe HUKUBALIKI na unategemea ubunifu wao kupeleka jina na picha zako kwenye mchezo ule na mingine? Wangekuwa wakweli na kukueleza yaliyosemwa kiwanjani jana, hakika ungeruka nao bila huruma.
Niishie kukushauri waambie waachane nawe, huo ni mzigo na wafanyacho ndio kile kule pwani wanasema kuchamba kwingi ...View attachment 2591051View attachment 2591052View attachment 2591053
Aahahaaaaaa
 
Anayaandaa mwenyewe ili aonekane anakubalika licha ya ugumu wa maisha aliyousababisha kwa kukumbatia mafisadi
 
Mh. Rais hata ungekuwa umefanya/unafanya jambo kubwa zuri sana kwa Watanzania, kama hautakaa mbali na hawa UVCCM & the likes, amini kuwa utadharaulika mpaka na watoto wadogo wanaojifunza kuongea.

Hao "chawa" hawana nia njema nawe zaidi ya kutaka kushibisha matumbo yao kupitia mgongo wako.
 
Acha wivu wako wewe,nchi ngapi na serikt ngapi na Marais wangapi hutoa na kuahidi mazawadi makubwa makubwa kwa wachezaji wao pindi wakifanya vizuri katika mashindano fulani? Ushawishi na kukubalika kwa mh Rais kumewachanganya Sana wenye mioyo ya kwa nini
 
Kumbe hata zile zawadi za goli moja milioni 5 hazikuwa zawadi za kutoka moyoni kwa mapenzi yako katika kukuza soka bali ni kampeni ya kutaka kuwin popularity?

Kama sio hivyo kwa nini hawa Chawa wanataka kuwafanya wenye akili wafikiri hivyo wakati sio mawazo yako? Huoni kuwa kwanza wanafanya nchi iwe inakiuka agizo la FIFA kutochanganya siasa na mpira pamoja?

FIFA walifanya hivyo kwa sababu siasa ikichanganywa na mpira yaweza kuleta balaa kubwa.

Kulikuwa na sababu gani Waingize masuala ya zawadi zile hadi kiwanjani kukupigia kampeni kama vile wewe HUKUBALIKI na unategemea ubunifu wao kupeleka jina na picha zako kwenye mchezo ule na mingine?

Wangekuwa wakweli na kukueleza yaliyosemwa kiwanjani jana, hakika ungeruka nao bila huruma.

Niishie kukushauri waambie waachane nawe, huo ni mzigo na wafanyacho ndio kile kule pwani wanasema kuchamba kwingi

View attachment 2591053
Hizi kenge ndo zimesababisha tukafungwa jana . PUMBAVU
 
Mh. Rais hata ungekuwa umefanya/unafanya jambo kubwa zuri sana kwa Watanzania, kama hautakaa mbali na hawa UVCCM & the likes, amini kuwa utadharaulika mpaka na watoto wadogo wanaojifunza kuongea.

Hao "chawa" hawana nia njema nawe zaidi ya kutaka kushibisha matumbo yao kupitia mgongo wako.
Unaumia kutoka kitongoji gani wewe!? Yaani mama ajitenge na UVCCM, uko siriazi wewe!?
 
Kumbe hata zile zawadi za goli moja milioni 5 hazikuwa zawadi za kutoka moyoni kwa mapenzi yako katika kukuza soka bali ni kampeni ya kutaka kuwin popularity?

Kama sio hivyo kwa nini hawa Chawa wanataka kuwafanya wenye akili wafikiri hivyo wakati sio mawazo yako? Huoni kuwa kwanza wanafanya nchi iwe inakiuka agizo la FIFA kutochanganya siasa na mpira pamoja?

FIFA walifanya hivyo kwa sababu siasa ikichanganywa na mpira yaweza kuleta balaa kubwa.

Kulikuwa na sababu gani Waingize masuala ya zawadi zile hadi kiwanjani kukupigia kampeni kama vile wewe HUKUBALIKI na unategemea ubunifu wao kupeleka jina na picha zako kwenye mchezo ule na mingine?

Wangekuwa wakweli na kukueleza yaliyosemwa kiwanjani jana, hakika ungeruka nao bila huruma.

Niishie kukushauri waambie waachane nawe, huo ni mzigo na wafanyacho ndio kile kule pwani wanasema kuchamba kwingi

View attachment 2591053
Siku CHADEMA wakianza kwenda na gwanda zao utakuwa uwanja wa siasa na sio mpira.
 
Mtu akipenda kusifiwa na wajinga lazima nae awe mjinga tu, kwasababu kama ana akili zake kwanini hazitumii?

Sent from my SAMSUNG-SM-G900A using JamiiForums mobile app
 
Acha wivu wako wewe, nchi ngapi na serikt ngapi na Marais wangapi hutoa na kuahidi mazawadi makubwa makubwa kwa wachezaji wao pindi wakifanya vizuri katika mashindano fulani? Ushawishi na kukubalika kwa Rais kumewachanganya Sana wenye mioyo ya kwa nini
Wewe umefika wakati tukuchangie fedha uje mjini kidogo upate kufumbua macho kidogo na kupata uelewa.
Toa maombi rasmi JF itakuandalia utaratibu wa kukuchangia. Tumechoka ujinga
 
Kumbe hata zile zawadi za goli moja milioni 5 hazikuwa zawadi za kutoka moyoni kwa mapenzi yako katika kukuza soka bali ni kampeni ya kutaka kuwin popularity?

Kama sio hivyo kwa nini hawa Chawa wanataka kuwafanya wenye akili wafikiri hivyo wakati sio mawazo yako? Huoni kuwa kwanza wanafanya nchi iwe inakiuka agizo la FIFA kutochanganya siasa na mpira pamoja?

FIFA walifanya hivyo kwa sababu siasa ikichanganywa na mpira yaweza kuleta balaa kubwa.

Kulikuwa na sababu gani Waingize masuala ya zawadi zile hadi kiwanjani kukupigia kampeni kama vile wewe HUKUBALIKI na unategemea ubunifu wao kupeleka jina na picha zako kwenye mchezo ule na mingine?

Wangekuwa wakweli na kukueleza yaliyosemwa kiwanjani jana, hakika ungeruka nao bila huruma.

Niishie kukushauri waambie waachane nawe, huo ni mzigo na wafanyacho ndio kile kule pwani wanasema kuchamba kwingi

View attachment 2591053
Aibu sana !
 
kuna wakati Lucas Mwashambwa alitangaza kuomba msaada humu kwa madai kwamba simu yake iliharibika kioo , nadhani waungwana walimnunulia simu mpya
 
Mkuu hao jamaa aibu hakuna wala akili kikubwa ni tumbo lishibe!! Imagine uchawa unamfanya mtu aseme muumba mbingu na Nchi anapaswa amshukur JPM? Kweli?

Back
Top Bottom