Bunge linaloongozwa na Tulia Akson limekosa mvuto, limeshuka hadhi na limepoteza meno kabisa.
Tangu Tulia akalie kiti cha uspika hatujaona mijadala yenye tija, maazimio yenye tija na maamuzi yenye tija. Bunge halina tofauti na kijiwe.
Mbunge anatoa tuhuma za jumla jumla zinazochafua bunge na wabunge wenzake lkn spika haamuru mbunge huyo kutoa uthibitisho/ushahidi wa tuhuma hizo.
Mfano Masaburi amesema baadhi ya wabunge ni mashoga. Tuhuma hizi nzito za Masaburi hazikukanushwa na zimeingia kwenye kumbukumbu za bunge (Hansard). Hivi ni kweli kwamba kuna wabunge mashoga?
Tulia na wasaidizi wake walipaswa kumtaka Masaburi awataje kwa majina na ikibidi wakapimwe hospitali ili kuthibitisha. Hii ingelinda hadhi ya bunge na wabunge.
My take: Bunge lisigeuzwe kijiwe. Tunataka wabunge mashoga watajwe.