HARAMBEE YA UJENZI WA MAABARA TATU ZA SEKA SEKONDARI - JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI
Seka Sekondari ni shule mpya ambayo kwa sasa ina wanafunzi wa Kidato cha Kwanza hadi cha Tatu ( FI - FIII).
Jumla...
Karibuni wadau kwa majawabu yenu juu ya maswali yangu haya yafuatayo.
1. Kwa nini wanasiasa wa TANU na vyama baadhi miaka ya 1950s walishinikiza suala la wao kupewa uhuru kutoka kwa Muingereza...
MBUNGE WA CHWAKA AZUNGUMZIA MIUNDOMBINU YA ELIMU - WILAYA YA KATI, MKOA KUSINI UNGUJA
Mbunge wa Jimbo la Chwaka Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Haji Mlenge katika kuonyesha utekelezaji...
Tulipofika ni ngumu sana kumtofautisha Dr Taletale na Dr Kigwangalla
Mzungu anajua sana kuchezea akili za mtu mweusi
Hongereni wote mnaoendelea kutunukiwa PhD za heshima Dr Taletale, Dr Abood...
Haiwezekani binadamu uliyetimia ukaongea maneno ya kikatili kwa mwanadamu mwenzako kisa wewe ni MATAGA.
Musiba aliyaongea haya maneno akiwa na uhakika kuwa Tanzania ilikuwa mikononi mwake maana...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Mbowe amesema hivi sasa wilaya zinaletewa Wakuu wa Wilaya ambao wananchi wa wilaya husika hawawajui na wala hawajawahi kuwaona au kuwasikia.
Hivyo katika vuguvugu...
Baada ya kusikia habari za mtanzania aliyeuawa vitani nchini Ukraine akipambana upande wa Urusi dhidi ya Ukraine nilishangazwa sana na kujiuliza, ilikuwaje?
Maneno mengi nikaanza kusikia kabla ya...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameongoza Matembezi ya kuhamasisha mazoezi ili kulinda afya ya moyo katika kampeni maalumu ya kuzuia magonjwa...
WAJIBU WA MASHINA YA CCM
Kila shina lililo timiza masharti limeunda kamati ya uongozi wa shina yenye wajumbe watano akiwemo Balozi ambaye ndiye mwenyekiti wa shina. Katiba ya CCM 1977, Toleo la...
"Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia neema ya kutimiza miaka 63. Nawashukuru nyote kwa salamu zenu nyingi za upendo katika siku hii. Ahsanteni sana kwa dua za siha njema, umri mrefu na...
Mimi binafsi navutiwa na kikosi cha kivita cha wagner cha nchini urusi kinachomilikiwa na mtu binafsi ,navutiwa nacho kwa sababu kinamafungamano mazuri na serikali, pili kinatoa ajira mbadala kwa...
Kwa uelewa wangu, serikali inajiendesha kutokana na Kodi zinazolipwa na wananchi wake.
Katika hotuba ya Lissu, alipinga Kodi zote ambazo serikali inazikusanya na kuzitumia kulipa polisi waliokuwa...
Nimepenyezewa hii taarifa na Kada mkongwe wa CCM ambaye wote hapa Jf mnamjua
Mgaya anasema CCM haitegemei mtu mmoja ndio sababu Mikutano itafanyika nchi nzima siku hiyo
Nawatakia Sabato yenye...
Wanachi wataumia sana, hawana mtetezi.
👇
Nipashe ilitembelea maeneo mbalimbali ya Dar es Salam na kubaini kupanda bei za bidhaa zinazotumiwa na kwa mlo wa kila siku ambazo ni mchele, maharagwe...
Just thinking loudly..........hawa vigogo huku na mwenendo wa magamba. A new Mtandao?
Mufti Simba asambaratisha kamati kwa kushindwa kazi
Wednesday, 03 August 2011 23:00
Hussein...
Hii kauli ya Freeman Mbowe kuhusu kushangaa kuwa IGP Simon Sirro mpaka leo yupo ofisini na anashangaa mpaka leo bado yupo ofisini unadhani ni sahihi muda huu mkuu huyo wa Jeshi la Polisi anatakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.