UFANISI Vs CHANGAMOTO ZA KIFEDHA NCHINI. NANI TUMPE MAUA YAKE MAPEMA?
Popote duniani wasifu wa fedha unategemea mambo kadhaa.
1. Hali ya uchumi wa nchi
2. Ufanisi wa sekta za umma na zile...
Mali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zipo hatarini kukamatwa na Kampuni ya M/s Laemthong Rice Company Ltd inayoidai Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kiasi cha Dola za Marekani...
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Kijiji cha Kwa Msisi Mkoani Tanga ambapo imeombwa kwanza hela ya Tambiko mil 21 ili ujenzi wa barabara unaohusisha ukataji wa miti uendelee.
Tambiko la pili...
Halima Nassoro kada CCM anayepora viwanja, kumg'oa Masanja Mwanza
Miezi minne sasa tangu sakata la uuzwaji wa viwanja viwili katika eneo la Rwagasore jijini Mwanza kuibuka, mapya yaibuka...
Bunge ni la CCM na Jina la Spika limeletwa Bungeni na Kamati Kuu ya CCM inayoongozwa na Mwenyekiti wa CCM ambaye ndiye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye naye pia ni sehemu ya Bunge...
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amefanya ziara katika Kata ya Ikuti na kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wakazi wa kata hiyo.
Akikagua ujenzi wa shule mpya ya msingi...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma (CCM), Mhe. Dkt. Thea Medard Ntara amehoji “Suala hili lina muda mrefu sana na Watoto wanazidi kunyanyasika kwa kuolewa na umri mdogo, Je, Serikali imejiwekea...
Nina imani na wabunge wazalendo walioko Bungeni ambao hawana hatia juu ya ubadhirifu ulioibuliwa na CAG, hawaungi mkono mafisadi kupewa miezi sita ili hatua kuchukuliwa!
Lakini pia, Karibu 90% ya...
Kutoka Dodoma ndani ya Bunge linaloendelea, Mbunge asiyefahamika vizuri aliyetajwa kwa jina la Mtemvu, aliyetajwa kuwakilisha jimbo la Kibamba ametoa hoja kwamba Sura ya Rais Samia Suluhu iwekwe...
Kama ni kweli Hii sio sawa,Wahusika chukueni hatua..
Mbunge wa Nkasi (Chadema), Aida Khenan amelalamika kubaguliwa na wakuu wa idara na watumishi wa Wilaya ya Nkasi akidaiwwamegoma kumpa...
ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, amesema hana mpango wa kurudi nchini kwa sasa na kwamba taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii...
Namkumbuka sana Dr Willibrod Slaa mara kwa mara katika hotuba zake, ampeni zake alikuwa akihubiri na kulilia utawala wa sheria katika nchi hii.
Nataka kujua huko aliko, msimamo wake ni upi juu ya...
Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad alikuwa kiongozi wa siasa na mapambano ya kisiasa ya kambi ya upinzani Tanzania, ambae alijaaliwa ushawishi mkubwa zaidi kwa upande wa Zanzibar tokea miaka ya...
Kwa muda sasa sijajitokeza kusema.
Niliwahi kuandika jambo humu watu wakanitukana sana,ila kukili kosa nikujijenga katika mukutadha fulani wa maisha ya baadae.
Mbowe alijisahau baada ya kuona...
NOAH SAPUTU MOLLEL - ASISITIZA USAWA KATIKA AJIRA ZINAZOTANGAZWA TAMISEMI
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi Mhe. Noah Lemburis Saputu Mollel wakati akichangia bungeni katika vikao...
Ameonya baadhi ya jamii kupewa upendeleo kwenye ajira,
Ameonya baadhi ya wakubwa kupendelewa
Ameonya kuhusu ajira zenye kipato kama TRA, TANESCO kutotangazwa
Ameshauri kwa nini utumishi...
Msemaji mkuu wa Serikal Gerson Msigwa amesema Watu wote Waliotajwa kwenye Ripoti ya CAG watashughulikiwa hivyo Wananchi msiwe na wasiwasi
Kadhalika Treni ya SGR itaanza safari mwisho wa mwezi...
Baniani mbaya kiatu chake dawa.
Bila serikali ya SSH kuwakingia kifua, Kabudi, Mruma, Osoro na Luoga katika zoezi la kuisaidia serikali kujadiliana kwa tija ya taifa kwenye mikataba mipya ya...
SPIKA wa Bunge, Tulia Ackson amemzuia Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu aliyeomba mwongozo wa Spika bungeni leo Aprili 18 2023 kutokana na mgogoro mkubwa wa mbolea unaotishia mazao ya...
Magari ya abiria na mizigo yamekwama kwenye barabara ya kutoka Handeni-Kilindi-Kiteto-Kongwa na wengine kiketo -kondoa. Ndani ya nchi moja wengine wanajengewa barabara kupita juu ya maji (ziwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.