Usitupe chungu cha zamani

Usitupe chungu cha zamani

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2021
Posts
3,211
Reaction score
3,614
Baniani mbaya kiatu chake dawa.

Bila serikali ya SSH kuwakingia kifua, Kabudi, Mruma, Osoro na Luoga katika zoezi la kuisaidia serikali kujadiliana kwa tija ya taifa kwenye mikataba mipya ya uwekezaji sekta ya madini itawapunguzia nguvu na thamani kubwa waliyonayo kwenye jamii ya ndani na kimataifa.

1. Kabudi ni nguli wa sheria.
2. Osoro ni nguli wa uchumi.
3. Mruma ni nguli wa jiolojia.
4. Luoga ni nguli wa mikataba ya kimataifa.

Serikali ya awamu ya 6 ilivyowaondoa kwenye nafasi na dhamana ilizowakuta nazo haikujuwa iko siku itawahitaji?

Hao waliopewa dhamana walizokuwa nao hawa wa4 mbona hawashiriki majadiliano haya? Hawawezi? Kama hawawezi kwanini walizipewa dhamana hizo? Je, serikali inawalipa mishahara kwa kazi wasizofanya/wasizoweza?

Mfumo wetu wa Utumishi ni saratani ya maendeleo ya taifa.

Screenshot 2023-04-20 075037.png

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Magufuli alikuwa anafanya kazi na vichwa siyo hawa machawa kazi umbeaumbea!
 
Pangua pangua ya mama ilikuwa ni katika harakati za kuunda 'timu yake', kwa bahati mbaya aliwaondoa baadhi wazalendo na vichwa kweli kweli na kuwateuwa watembelea mbeleko za majina na nafasi za baba zao kwenye chama.
 
Back
Top Bottom