Kongwa hatuna Mbunge, NEC Itisheni Uchaguzi kuziba nafasi

MtuHabari

JF-Expert Member
Oct 16, 2020
320
1,018
Kugombea ubunge ni suala la hiari, lakini kuutumikia ubunge huo sio hiari tena ukishachaguliwa. Lazima uwawakilishe wapiga kura wako Bungeni mawazo yao.

Toka ayumbuliwe Uspika Bw. JOB NDUGAI mbunge wa hapa Kongwa haonekani tena Bungeni na spika aliyepo sasa hafati kanuni kama aliyo ilivyo tumika kwa Nassari kumvua ubunge kwa kuto hudhuria vikao kadhaa vya bunge.

NEC watutaarifu yuko wapi Ndugai? Kafa au ni mgonjwa?

Au kajifungia ndani kwa aibu?

Kama amejifungia ajiuzulu ili tuchague mwingine au spika amfurushe tujue moja.

Kongwa tumebaki yatima ndani ya bunge
 
Ubunge ni mkataba wa miaka mitano. Mkisha chagua mmechagua. Hiyo mpaka '25 ndio mnaweza kuchagua tena!
 
Anakomba kila awezacho hivyo hawezi acha posho na mishahara ya ubunge
 
Kugombea ubunge ni suala la hiari, lakini kuutumikia ubunge huo sio hiari tena ukishachaguliwa. Lazima uwawakilishe wapiga kura wako Bungeni mawazo yao.

Toka ayumbuliwe Uspika Bw. JOB NDUGAI mbunge wa hapa Kongwa haonekani tena Bungeni na spika aliyepo sasa hafati kanuni kama aliyo ilivyo tumika kwa Nassari kumvua ubunge kwa kuto hudhuria vikao kadhaa vya bunge.

NEC watutaarifu yuko wapi Ndugai? Kafa au ni mgonjwa?

Au kajifungia ndani kwa aibu?

Kama amejifungia ajiuzulu ili tuchague mwingine au spika amfurushe tujue moja.

Kongwa tumebaki yatima ndani ya bunge
ndo muache kuchagua vibuyu,chagueni bakuri.
 
Poleni sana pengine Supika atasoma hapa na atatolea mwongozo.
 
Kugombea ubunge ni suala la hiari, lakini kuutumikia ubunge huo sio hiari tena ukishachaguliwa. Lazima uwawakilishe wapiga kura wako Bungeni mawazo yao.

Toka ayumbuliwe Uspika Bw. JOB NDUGAI mbunge wa hapa Kongwa haonekani tena Bungeni na spika aliyepo sasa hafati kanuni kama aliyo ilivyo tumika kwa Nassari kumvua ubunge kwa kuto hudhuria vikao kadhaa vya bunge.

NEC watutaarifu yuko wapi Ndugai? Kafa au ni mgonjwa?

Au kajifungia ndani kwa aibu?

Kama amejifungia ajiuzulu ili tuchague mwingine au spika amfurushe tujue moja.

Kongwa tumebaki yatima ndani ya bunge
Ndugai anapiga pesa kimya kimya
 
Mteueni DIWANI ashike Nafasi yake na aende Bungeni haraka Mzee bado hajaamini kuwa Uspika umeisha
 
Back
Top Bottom