CHADEMA ina nguvu mikoa yote kasoro Tanga na Zanzibar, ACT Wazalendo ina nguvu Pemba tu kwahiyo mdomo haukishindi kichwa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,131
Nimekuwa nafuatilia sana maandiko mbalimbali ya mh Jussa wa ACT wazalendo ambaye mara zote anajaribu kuonyesha Wao ndio Wabunifu na Chadema huwaiga

Hata Maridhiano anadai Maalim Seif ndio aliyaasisi kwa kukutana na hayati Magufuli Ikulu kisha ndio Mbowe, Prof Jay na Sugu wakaigilizia kwa kukodi ndege na kumfata Shujaa Mwanza

Niseme tu Ukweli ACT wazalendo ni wadogo sana kwa Chadema tena kwa karibu kila Kitu kasoro jengo tu la Makao makuu

Ni Vizuri na vema ACT wazalendo wakajifunza siasa za kupanua wigo wa wanachama kwa Chadema ambacho ni chama pekee cha upinzani chenye wanachama nchi nzima

Ramadan kareem!
 
Tatizo la ACT wanajaribu kupamabana na CHADEMA. Siku CHADEMA waliitisha press ya kujadili ripoti ya CAG nao wakakimbia kuandaa press siku hiyo hiyo na kujadili ripoti ya CAG.

Jana wakafanya maiigizo ya maandamano. Ili kuprempt CHADEMA wakija na hoja ya maandamano. Na maandamano yenyewe wakafanyia ofisi ya makao makuu yao na risala kwa Rais ikasomwa kwenye ofisi zao Hapo hapo. Sasa nikajiuliza maandamano ya ikulu hata hatua moja hampigi kutoka makao makuu mmebaki kupiga kelele na polisi na kujificha hapo getini.

CHADEMA waliitisha maandamano ya UKUTA jeshi la polisi likaanza mazoezi nchi nzima na walipobadilisha tarehe ikabidi makonda aingilie Kati na kulihusisha JWTZ. Sasa Hawa Wanafanya maandamano na hakuna any reaction kutoka kwa dola.

Maandamano waiachie CHADEMA wait waendelee na serikali ya umoja wa kitaifa huko Zanzibar.
 
Kuna mpango wa kutuchonganisha Wapinzani ndugu zangu CHADEMA na ACT Wazalendo tupambane na haya majizi ya CCM
 
Act jana wameonyesha kbs wasivyo na lolote, yaani mnaandamana watu 17 ?? Alafu maandamano yao yakaishia pale pale kwenye geti la makao makuu yao ya kupanga chama ambacho kina wanachama 14000 nchi nzima kwa mujibu wa Act kiganjani .... kifupi CUF ni imara kuliko Act
 
Nimekuwa nafuatilia sana maandiko mbalimbali ya mh Jussa wa ACT wazalendo ambaye mara zote anajaribu kuonyesha Wao ndio Wabunifu na Chadema huwaiga

Hata Maridhiano anadai Maalim Seif ndio aliyaasisi kwa kukutana na hayati Magufuli Ikulu kisha ndio Mbowe, Prof Jay na Sugu wakaigilizia kwa kukodi ndege na kumfata Shujaa Mwanza

Niseme tu Ukweli ACT wazalendo ni wadogo sana kwa Chadema tena kwa karibu kila Kitu kasoro jengo tu la Makao makuu

Ni Vizuri na vema ACT wazalendo wakajifunza siasa za kupanua wigo wa wanachama kwa Chadema ambacho ni chama pekee cha upinzani chenye wanachama nchi nzima

Ramadan kareem!
wenzenu wana ofisi ya ghorofa nyie mna banda la uwani, nadhani kuna tofauti hapo
 
Nimekuwa nafuatilia sana maandiko mbalimbali ya mh Jussa wa ACT wazalendo ambaye mara zote anajaribu kuonyesha Wao ndio Wabunifu na Chadema huwaiga

Hata Maridhiano anadai Maalim Seif ndio aliyaasisi kwa kukutana na hayati Magufuli Ikulu kisha ndio Mbowe, Prof Jay na Sugu wakaigilizia kwa kukodi ndege na kumfata Shujaa Mwanza

Niseme tu Ukweli ACT wazalendo ni wadogo sana kwa Chadema tena kwa karibu kila Kitu kasoro jengo tu la Makao makuu

Ni Vizuri na vema ACT wazalendo wakajifunza siasa za kupanua wigo wa wanachama kwa Chadema ambacho ni chama pekee cha upinzani chenye wanachama nchi nzima

Ramadan kareem!
Posho ikichelewa huwa una akili sn, ACT kina nguvu kata ya Ujiji Kigoma mjini na Unguja kidogo kwingineko hata hakijulikani kama ilivyo TLP.
 
Act jana wameonyesha kbs wasivyo na lolote, yaani mnaandamana watu 17 ?? Alafu maandamano yao yakaishia pale pale kwenye geti la makao makuu yao ya kupanga chama ambacho kina wanachama 14000 nchi nzima kwa mujibu wa Act kiganjani .... kifupi CUF ni imara kuliko Act
ACT ikimtoa Zitto Kakwe na chama kinakuwa kimeishia hapo
 
Tatizo la ACT wanajaribu kupamabana na CHADEMA. Siku CHADEMA waliitisha press ya kujadili ripoti ya CAG nao wakakimbia kuandaa press siku hiyo hiyo na kujadili ripoti ya CAG.

Jana wakafanya maiigizo ya maandamano. Ili kuprempt CHADEMA wakija na hoja ya maandamano. Na maandamano yenyewe wakafanyia ofisi ya makao makuu yao na risala kwa Rais ikasomwa kwenye ofisi zao Hapo hapo. Sasa nikajiuliza maandamano ya ikulu hata hatua moja hampigi kutoka makao makuu mmebaki kupiga kelele na polisi na kujificha hapo getini.

CHADEMA waliitisha maandamano ya UKUTA jeshi la polisi likaanza mazoezi nchi nzima na walipobadilisha tarehe ikabidi makonda aingilie Kati na kulihusisha JWTZ. Sasa Hawa Wanafanya maandamano na hakuna any reaction kutoka kwa dola.

Maandamano waiachie CHADEMA wait waendelee na serikali ya umoja wa kitaifa huko Zanzibar.
ACT inazidi kuisha kila siku sijui ni mimi tu, huku kaskazini ndiyo kabisa watu hata hawaijui
 
Nimekuwa nafuatilia sana maandiko mbalimbali ya mh Jussa wa ACT wazalendo ambaye mara zote anajaribu kuonyesha Wao ndio Wabunifu na Chadema huwaiga

Hata Maridhiano anadai Maalim Seif ndio aliyaasisi kwa kukutana na hayati Magufuli Ikulu kisha ndio Mbowe, Prof Jay na Sugu wakaigilizia kwa kukodi ndege na kumfata Shujaa Mwanza

Niseme tu Ukweli ACT wazalendo ni wadogo sana kwa Chadema tena kwa karibu kila Kitu kasoro jengo tu la Makao makuu

Ni Vizuri na vema ACT wazalendo wakajifunza siasa za kupanua wigo wa wanachama kwa Chadema ambacho ni chama pekee cha upinzani chenye wanachama nchi nzima

Ramadan kareem!
Kwa sasa Amna kitu kiprrove angaliia mikutano ya wenje mwanza anatoa povu watu wachache wanamuangalia uku wamenuna kusema kweli mvuto umepotea
 
Back
Top Bottom