Msigwa: Wote Waliotajwa na CAG watashughulikiwa. Treni ya SGR kuanza safari mwisho wa mwezi Huu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,598
141,415
Msemaji mkuu wa Serikal Gerson Msigwa amesema Watu wote Waliotajwa kwenye Ripoti ya CAG watashughulikiwa hivyo Wananchi msiwe na wasiwasi

Kadhalika Treni ya SGR itaanza safari mwisho wa mwezi Huu au mwanzo wa mwezi Ujao

Chanzo: Mwananchi
 
Bila kusahau habari njema kuwa tutaanza kutumia umeme wa bwawa la mwal.Nyerere ifakapo January 2024.

Hadi sasa bwawa limekamilika kwa asilimia 85 na kazi inaendelea kwa Kasi.

Tunafahamu kuwa hii ni habari mbaya sana kwa maadui wa maendeleo.
 
Msemaji mkuu wa Serikal Gerson Msigwa amesema Watu wote Waliotajwa kwenye Ripoti ya CAG watashughulikiwa hivyo Wananchi msiwe na wasiwasi

Kadhalika Treni ya SGR itaanza safari mwisho wa mwezi Huu au mwanzo wa mwezi Ujao

Source: Mwananchi
Aaah wapi! Huyo msemaji angeanza kwanza na speaker wa bunge!
 
Yes, watashughulikiwa, lakini lini? Maana kujadiliwa tuu ni baada ya Miezi Sita, ndiyo ije mapendekezo, Serikali iyachukuwe na "kwenda kuyachakata", misemo mingine haina hata maana, ndiyo irudi na jibu la yaliyojadiliwa, tayari tumeingia Local govt election, hapo mawazo yatahamia huko, inakuja General election, basi tena. Mijizi tayari iko UK kununua suti mpya, mengine ndiyo Yutong inalipiwa kama unavyonunua nyanya kariakoo!!! SINEMA IMEISHA, THE END, FIN!!!
 
Msemaji mkuu wa Serikal Gerson Msigwa amesema Watu wote Waliotajwa kwenye Ripoti ya CAG watashughulikiwa hivyo Wananchi msiwe na wasiwasi

Kadhalika Treni ya SGR itaanza safari mwisho wa mwezi Huu au mwanzo wa mwezi Ujao

Chanzo: Mwananchi
Hamna serikali ya kudeal na wezi kww huyu nama
 
Ngoja tuone,rimoti ipo msoga.
images.jpeg.jpg
 
Msemaji mkuu wa Serikal Gerson Msigwa amesema Watu wote Waliotajwa kwenye Ripoti ya CAG watashughulikiwa hivyo Wananchi msiwe na wasiwasi

Kadhalika Treni ya SGR itaanza safari mwisho wa mwezi Huu au mwanzo wa mwezi Ujao

Chanzo: Mwananchi

Watashughulikiwa au wanashughulikiwa? Au nalo pia wakalitazame?
 
Maza muoga hadi noma, mamlaka tumempa lakini anayagwaya mafisadi...au anasubiri ruhusa kutoka Msoga??.
 
Back
Top Bottom