Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Moja ya sababu zilizofanya Tanzania kuwa nyuma kimaendeleo ni suala la sera zetu kuegemea ujamaa yaani kila kitu kufanywa na serikali jambo ambalo limekuwa likifanya tuchelewe sana kupata...
1 Reactions
0 Replies
494 Views
Hii ni baada ya leo chama hicho huko Zanzibar kuagiza kuitishwa vikao vya wanachama ili watafakari Kiburi cha Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi kuteua Mkurugenzi wa Uchaguzi mamluki, Aliyemsaidia...
13 Reactions
51 Replies
3K Views
Leo Tarehe 10/07/2022 , Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika, amefika kwenye gereza la Bariadi kuwajulia hali Viongozi wa Kata ya Dutwa , Jimbo la Bariadi Waliofungwa kifungo cha Maisha Gerezani...
24 Reactions
80 Replies
5K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche ameahidi kuchangia shilingi milioni 2.3 kusaidia ujenzi wa ofisi ya chama hicho Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza. Heche ametoa ahadi hiyo mjini...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Kufuatia Ukame na uhaba wa maji makamu wa Rais Dr Mpango ametoa maagizo 10 na kutaka yashughulikiwe haraka. Miongoni mwa maagizo hayo ni kuwahamisha watu wanaoishi jirani na Vyanzo vya Maji na...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Msimamo wa Zitto Kabwe na ACT Wazalendo ni kuanza na Mchakato wa Tume Huru ya Uchaguzi halafu Katiba Mpya ipatikane baadae Cha ajabu jana Zitto Kabwe kakimbilia Tunduru nchini Tanganyika na...
3 Reactions
7 Replies
881 Views
Tunaendelea na simulizi ya kweli ya Rais John Pompeo na swahiba wake David Albeet Basheet Baada ya Rais Pompeo kuingia madarakani alitengeneza chamandani ya chama kwa kutoa wenye chama na...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Fikiria Edwin Mtei anamwambia Mwalimu Nyerere "Mkuu Hapa hauko sahihi unapaswa kufanya hivi" Hapo ni Gavana na Rais wanawasiliana. Ujasiri huo haupo tena ndani ya Chama Dume tena awamu ya 5 ndio...
1 Reactions
1 Replies
539 Views
Wakati Mhe. Rais anafungua mradi wa maji kule Kigamboni hivi karibu, Ndugu Juma Aweso alitamka mbele ya Mhe.Rais kwamba kuanzia siku ile jiji la Dar es Salaam linapata maji kwa 100%. Alitoa kauli...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Hao ndio CHADEMA! wanavaa kombati na kujiita makamanda! au peoples power yaani nguvu ya umma! hawa jamaa wanaongoza kwa siasa za chuki na visasi! Kama wangeshika dola hata kwa dakika tano tu...
0 Reactions
26 Replies
1K Views
J K Nyerere alikuwa Pan Africanist na hicho ndicho kilicho mpamanua dhidi ya wenzie kama akina Jomo Kenyatta au Milton Obotte. Miaka yote alifikiria kuunga mkono mapambano ya nchi zinazopigana na...
11 Reactions
48 Replies
5K Views
Jee ni Sababu ipi inayo kwamisha mchakato wa Mabadiriko ya Katiba Nchini Tanzania,.?[emoji848][emoji848]
1 Reactions
4 Replies
636 Views
Wakuu habari za mchana? Ni matumaini yangu kuwa mko poa,katika siku za hivi karibuni kumezuka mijadala kadhaa mitaani, katika mitandao na hata kimataifa kuwa uongozi wa Rais Samia umeghubikwa na...
6 Reactions
63 Replies
4K Views
Sio mimi, hiyo ni ripoti ya NBS ya 2020/21 imeonesha wakazi wa Dar wanapata maji safi na salama ndani ya mita 500 tu. Usiniulize kuhusu mabowser au wauza maji wanaozurura na matorori, nazungumzia...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Waziri wa wizara ya mambo ya ndani Mheshimiwa Masauni ametembelea kiwanda cha bidhaa za ngozi cha Kilimanjaro International Leather Industries Co. Ltd ( KLICL) kilichopo mjini moshi na kuagiza...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Kibondo katika mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Kibondo Mkoani Kigoma, leo tarehe 16 Oktoba, 2022. Rais...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na hali ngumu ya Maisha. Naumia sana ninapoona watu wanateseka mtaani kutokana na uhaba wa umeme. Naumia sana ninapoona watu wanateseka...
33 Reactions
105 Replies
6K Views
Mimi huwa si mpenzi sana wa kuanzisha mada kwenye jukwaa la siasa, maana huwa naona vurugu ni nyingi sana humu, watu huwa hawajadili kwa hoja, bali ni kujibu jibu tu arguements kwa vijembe kama...
19 Reactions
94 Replies
5K Views
Wasalamu wana JF. Kwanza kabisa nianze kwa kujifuta machozi na kuionea huruma nchi yangu ya Tanzania kwa kufika huku ilipofika kwa sababu ya ukosefu wa umakini katika chaguzi na teuzi za...
31 Reactions
110 Replies
11K Views
UWT TAIFA TUNAKWENDA NA Comred. GAUDENTIA KABAKA Mchague GAUDENTIA M. KABAKA Mgombea nafasi ya Mwenyekiti UWT Taifa #Daraja Bora la Maendeleo ya Chama, Serikali na Wananchi.
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…