Nkerejiwa
Senior Member
- Feb 25, 2014
- 146
- 214
UJUMBE WA WOTE WALIOUMIZWA NA TANZANIA KUFIKIA PATO LA TRILLION 200, NA WANAOTESEKA BAADA YA WIZARA YA FEDHA KUKOSA KASHFA KATIKA REPORT YA CAG.
● Ujumbe huu ufike kwa ndugu yetu mroho wa madaraka atambue kwamba Urais anatoa Mungu, sio wa kugombaniwa kwa majungu, akumbuke wote waliowahi kuugombania waliishia kupata visukari na maradhi ya akili baada ya kuukosa.
● Sisi kazi yetu kwasasa ni kumsaidia Jemedari mkuu Dkt Samia Suluhu Hassan.
Kwako John Marwa na mfadhili wako.
1. Mosi,Mwigulu hausiki na tenda za Wizara ya Uchukuzi, kama ilikaa na ikaidhinisha tenda kwa vigezo wanavyovijua wao, Waziri wa Fedha anaazaje kuhoji? Kazi yake ni kutoa fedha na amefanya hivyo. Mpina unajaribu kuleta uozo wa Wizara ya Uchukuzi katika Wizara ya Fedha kwasababu umetumwa na mroho wa madaraka.
2. Mwigulu hajavunja sheria ya manunuzi, amevunjaje? Kwani yeye ndiye tender board ya TRC? Mnunuzi ni Wizara ya Uchukuzi, Mwigulu kazi yake ni kutoa fedha, na sio kuidhinisha malipo, malipo yalishaidhinishwa na Wizara Husika.
3. kwani, kuna watu wa wizara ya fedha wanashiriki kwenye vikao vya zabuni za Wizara ya Uchukuzi? Hakuna na ndio maana huna ushahidi.
4. Mwigulu hawezi kukopa bila idhini ya Serikali na sheria ya mikopo ya serikali (The Government Loans, Guarantees and Grants Act) iko wazi kabisa kuhusu hili , Waziri ni Mwakilishi tu Rais na Serikali, huwezi kusema Waziri wa Fedha amekwenda kukopa as if anakopa apeleke nyumbani kwake, angesema Serikali imekopa, sio sio Waziri wa Fedha. Hata siku moja, mtu asiseme Waziri fulani amekopa, aiseme Serikali moja kwa moja, otherwise atakuwa ana agenda binafsi na Waziri Mwigulu.
Mwigulu hana mamlaka ya kukopa on his personal capacity na kila mkopo unafuata taratibu za kiserikali za ukopaji ambazo zipo kwa mujibu wa sheria. Unaposema Waziri kakopa na kutumia nje ya bajeti it's something that doesn't make sense. Ile si bajeti ya Mwigulu, ile si mkopo wa Mwigulu ni bajeti ya Nchi na mikopo ya Nchi ambayo Waziri hana uwezo wa kuipata kwa personal capacity yake. Hapa ni masuala tu ya vita binafsi za makundi fulani ambayo labda yanamtumia Mpina ama kwa yeye mwenyewe kujua au kutojua dhima ya why anatumiwa yeye.
Kingine ambacho ni muhimu zaidi na zaidi ni kwamba Hakuna mahala popote katika sheria ya mikopo, misaada na dhahama za serikali (Government Loans, Guarantees and Grants Act) Waziri analazimika kuwasilisha kila kitu anachokopa mbele ya Bunge.
Mwisho: Hii ni character assassination plan, ambayo inatekelezwa na watu fulani kwa mgongo wa Mpina ili kutafuta a scape goat katika wizi wa mabilioni katika maeneo yao ambayo hata kwa Takwimu za CAG zaidi ya 70% ya pesa za upotevu zipo na zinatokea katika maeneo/Wizara zao. Pia ni harakati fulani zenye chuki binafsi dhidi ya Mwigulu Lameck Nchemba, PhD ambae kuna namna amesaidia ku shape uchumi wa Nchi hii katika namna ambayo hata baadhi ya watu wanaomtuma na watu aina ya Mpina hawaamini at all.
Mwisho nikuambie tu ndugu yetu kijana wa mwingira,
MR CHAUROHO, haya tumekubali wewe ndio Rais wa 2030, anza kushona suti za kidiplomasia, anza kuandika hotuba ya uapisho na ile ya kuzindua bunge, wewe si una mkataba ya mbingu bhana, sawa.