"Walafi Wa Taifa"Msimgeuze Hayati Magufuli Kichaka!

voicer

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2020
Posts
5,545
Reaction score
11,944
Majizi yote sasa hivi mmegeuza jina "Magufuli" kuwa kichaka cha kujifichia pale mnapobanwa na ripoti ya CAG 2021-2022. Mmekosa pa kufichia sura zenu za kilafi,sasa mnatapatapa ovyo kujinusuru bila tija.

Wale aliowakataa Magufuli ndio wizara zao zinaongoza kwa wizi.

Nape Nnauye - Yuko kwenye payroll ya makampuni ya mawasiliano,king pin akiwa R'A na Tigo yake.

January Makamba - Huyu ameiba kupitia miradi ya kifisadi pale Tanesco,mpaka amevimbewa na sasa anahonga kina Babra magari V8 ya kifahari,na Mteuzi anamiogopa hata kumsema tu!

Mwigulu Nchemba - Madudu yote yalioainishwa na CAG,yanamhusu yeye moja kwa moja,ni kwamba yeye ndie bosi wa katibu mkuu wa hazina ambaye ndiye muidhinishaji na mlipaji mkuu.

Halafu yakishaiba yanakodi vijana wajinga wajinga kuja Mitandaoni kumchafua Magufuli,ili kututoa kwenye reli!

Tunaona mpaka mmewakodi waandishi uchwara wasakatonge kina Absalom kibanda & the group,ili kuandika kitabu kupambana na Magufuli kaburini.lakini muelewe Magufuli hachafuki.

Kadri mnavyojitahidi kumchafua,ndivyo anavyozidi kung'ara na kukumbukwa kwa mazuri yake.

Ripoti ya CAG imewaumbua woote na kinara wenu huyo bingwa wa kulalamika!

2025 sio mbali,labda kupona kwenu kutatokana na kuwaingiza wapinzani kundini kulamba asali kama tunavyoina ikiendelea kwa sasa!
 
Tatizo mjomba hakuwajua maadui zake wa kweli, alidhani ni kina Lissu, Mbowe, Ben Saanane.. and the rest is history
Uko sahihi kabisa 100%

Pia shangazi nae kaingia chaka hilo hilo aliloingia mjomba!
 
Majizi yote sasa hivi mmegeuza jina "Magufuli" kuwa kichaka cha kujifichia pale mnapobanwa na ripoti ya CAG 2021-2022.
Mmekosa pa kufichia sura zenu za kilafi,sasa mnatapatapa ovyo kujinusuru bila tija.

Wale aliowakataa Magufuli ndio wizara zao zinaongoza kwa wizi.
Umeandika vizuri ila hujiamini.
 
Suppose asingewaingiza wapinzani kundini, hiyo 2025 ndio mngeweza kufanya nini?
P
Kupata wabunge wengi kuingia bungeni na kupambana na hilo genge kwa hoja nzito huku wananchi wakishuhudia live na kufunguka macho.

Inahitajika bunge mseto lenye watu weledi tofauti na hilo la chawa wa Samia waliojazana Dodoma kusaka tonge!
 
Uko sawa kabisa ndugu yangu mm nimefika mbali zaidi na wala sitanii watafika kukusanya kodi ya mazao yangu ya korosho mpaka huu au mwakani mtasikia Majibu yake nikiwa shambani (Kwani wanashindwa kutupatia pembejeo tunafanya kwa ngumu zetu ki ukweli nawasubiri)
Majizi yote sasa hivi mmegeuza jina "Magufuli" kuwa kichaka cha kujifichia pale mnapobanwa na ripoti ya CAG 2021-2022.
Mmekosa pa kufichia sura zenu za kilafi,sasa mnatapatapa ovyo kujinusuru bila tija.

Wale aliowakataa Magufuli ndio wizara zao zinaongoza kwa wizi.

Nape Nnauye - Yuko kwenye payroll ya makampuni ya mawasiliano,king pin akiwa R'A na Tigo yake.

January Makamba - Huyu ameiba kupitia miradi ya kifisadi pale Tanesco,mpaka amevimbewa na sasa anahonga kina Babra magari V8 ya kifahari,na Mteuzi anamiogopa hata kumsema tu!

Mwigulu Nchemba - Madudu yote yalioainishwa na CAG,yanamhusu yeye moja kwa moja,ni kwamba yeye ndie bosi wa katibu mkuu wa hazina ambaye ndiye muidhinishaji na mlipaji mkuu.

Halafu yakishaiba yanakodi vijana wajinga wajinga kuja Mitandaoni kumchafua Magufuli,ili kututoa kwenye reli!

Tunaona mpaka mmewakodi waandishi uchwara wasakatonge kina Absalom kibanda & the group,ili kuandika kitabu kupambana na Magufuli kaburini.lakini muelewe Magufuli hachafuki.

Kadri mnavyojitahidi kumchafua,ndivyo anavyozidi kung'ara na kukumbukwa kwa mazuri yake.

Ripoti ya CAG imewaumbua woote na kinara wenu huyo bingwa wa kulalamika!

2025 sio mbali,labda kupona kwenu kutatokana na kuwaingiza wapinzani kundini kulamba asali kama tunavyoina ikiendelea kwa sasa!
 
Majizi yote sasa hivi mmegeuza jina "Magufuli" kuwa kichaka cha kujifichia pale mnapobanwa na ripoti ya CAG 2021-2022.
Mmekosa pa kufichia sura zenu za kilafi,sasa mnatapatapa ovyo kujinusuru bila tija.

Wale aliowakataa Magufuli ndio wizara zao zinaongoza kwa wizi.

Nape Nnauye - Yuko kwenye payroll ya makampuni ya mawasiliano,king pin akiwa R'A na Tigo yake.

January Makamba - Huyu ameiba kupitia miradi ya kifisadi pale Tanesco,mpaka amevimbewa na sasa anahonga kina Babra magari V8 ya kifahari,na Mteuzi anamiogopa hata kumsema tu!

Mwigulu Nchemba - Madudu yote yalioainishwa na CAG,yanamhusu yeye moja kwa moja,ni kwamba yeye ndie bosi wa katibu mkuu wa hazina ambaye ndiye muidhinishaji na mlipaji mkuu.

Halafu yakishaiba yanakodi vijana wajinga wajinga kuja Mitandaoni kumchafua Magufuli,ili kututoa kwenye reli!

Tunaona mpaka mmewakodi waandishi uchwara wasakatonge kina Absalom kibanda & the group,ili kuandika kitabu kupambana na Magufuli kaburini.lakini muelewe Magufuli hachafuki.

Kadri mnavyojitahidi kumchafua,ndivyo anavyozidi kung'ara na kukumbukwa kwa mazuri yake.

Ripoti ya CAG imewaumbua woote na kinara wenu huyo bingwa wa kulalamika!

2025 sio mbali,labda kupona kwenu kutatokana na kuwaingiza wapinzani kundini kulamba asali kama tunavyoina ikiendelea kwa sasa!
WAPINZANI ni WAPINZANI, hawaaminiki.
 
Kupata wabunge wengi kuingia bungeni na kupambana na hilo genge kwa hoja nzito huku wananchi wakishuhudia live na kufunguka macho.

Inahitajika bunge mseto lenye watu weledi tofauti na hilo la chawa wa Samia waliojazana Dodoma kusaka tonge!
Tanzania bado tuna wishful politics na wishful thinkers ambao wanaamini uchaguzi ni making choices!. Hata Mama asingefanya lolote, 2025 ni CCM tena!. Chaguzi zetu ni za African democracy, matokeo ya uchaguzi sio determined na votes casted, but votes counted!.
P
 
Back
Top Bottom