Wanariadha Gabriel Geay na Alphonce Simbu Watinga Bungeni

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,909
945
MHE. DANIEL SILLO AKIWA NA MWANARIADHA GABRIEL GEAY BUNGENI

Wanariadha Gabriel Geay na Alphonce Simbu Watinga Bungeni

Mbunge wa Babati Vijijini na Mwenyekiti wa Bunge Mhe. Daniel Baran Sillo akiwa katika picha ya pamoja na mwanariadha Ndugu Gabriel Geay katika viwanja vya Bunge ambaye hivi karibuni alikuwa mshindi wa Pili katika mbio za Boston Marathon, Geay ni mwenyeji wa Kata ya Madunga katika Jimbo la Babati Vijijini.

Mwanariadha wa Kimataifa Gabriel Geay ambaye ni mshindi wa nafasi ya pili katika Mashindano ya kimataifa ya Riadha (Buston Marathon) yaliyofanyika nchini Marekani Aprili 17, 2023 akiwa pamoja na Mwanariadha wa kimataifa Alphonce Simbu, mshindi wa nafasi ya tatu katika mbio za Yangzhou Jianzhen International Half Marathon zilizofanyika nchini China Aprili 16, 2023, capo Bungeni Jijini Dodoma kwa mwaliko wa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana.
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2023-04-27 at 21.21.12.jpeg
    WhatsApp Image 2023-04-27 at 21.21.12.jpeg
    46.9 KB · Views: 5
  • WhatsApp Image 2023-04-27 at 21.21.14(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-04-27 at 21.21.14(1).jpeg
    54.8 KB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2023-04-27 at 21.21.13.jpeg
    WhatsApp Image 2023-04-27 at 21.21.13.jpeg
    49.5 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-04-27 at 21.21.14.jpeg
    WhatsApp Image 2023-04-27 at 21.21.14.jpeg
    47.8 KB · Views: 4
Back
Top Bottom