Dege limeokoa wstu Sudani

Dege limeokoa wstu Sudani

Ahaa na hzo za fly emirates na za makampuni mengine wapandazo viongozi wetu kwan nao wamelipa kodi uko??
 
Nikimbie moja kwa moja katika hoja husika, nimeona na kusikia Dege la hapa kazi tu limeokoa watu uko Sudani. Je limebagua watu waliokuwa wanatukana?
Cc Pascal Mayalla kwa msaada kama limebagua watu
Moderate Wstu = watu
Kwa hili nichukue nafasi kuipongeza Serikali yangu.

Enzi za nyuma ukienda nje ya nchi hawakuwa wakijali sana.

Naomba waangaliwe Kwa karibu Watanzania wanaosumbuliwa mara Kwa mara huko bondeni Kwa tata Madiba.
 
Nikimbie moja kwa moja katika hoja husika, nimeona na kusikia Dege la hapa kazi tu limeokoa watu uko Sudani. Je limebagua watu waliokuwa wanatukana?
Cc Pascal Mayalla kwa msaada kama limebagua watu
Moderate Wstu = watu

Limeokoa watu kwani ni ndege ya kijeshi? Bila hata hiyo ndege bado watu wangerudi tu nyumbani. Ww tuambie hizo ndege zimeleta faida gani hadi sasa, sio porojo za kuokoa watu.
 
Back
Top Bottom