JamiiForums YouTube Video ya Kadinali Pengo kaburini Kwa Hayati Magufuli ina watazamaji 54K, kwenye Trending ni ya 15

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
24,045
71,289
Huyu Mtu anaishi, Amekufa Kiroho tu ila ila Anaishi.

Haya ni Maajabu Ndugu zangu, maajabu kabisa.

Ingieni YouTube tafuteni Habari ya Kadinali Pengo kutembelea Kaburi la JPM, Channel zote maarufu maarufu Zina watazamaji kuanzia 5K na kuendelea!

Maajabu ya Mwaka, Rais Samia na Jukwaa lake la Chakula, habari yake, Chukueni channel zote zilizoirusha hiyo habari, alafu jumlisheni idadi ya watazamaji, Bado bado hazifiki hata Channel ya JF ilomuonyesha Kadinali Pengo Kwa JPM.

WaWanasiasnina waambia, Mwanasiasa atakayehitaji Taifa liwe pamoja naye, ni yule pekee atakayeamua Kumuenzi, kuziheshimu Falsafa za JPM. Huyu mtu amependwa, alipendwa na ataendelea kupendwa siku zote.

Kujaribu kufuta kila kitu chenye mkono wa JPM, ni ujinga ujinga unaofanywa na wajinga wasojielewa waloupata utawala Kwa bahati bahati tu.

Hivi inawezekana vipi, Marehem anapata Watazamaji zaidi ya elfu hamsini, alafu Alite Hai anapata Watazamaji 124 🤣 haya ni Maajabu ,ni maajabu hahahahahhahah.

RAIS SAMIA SULUHU, KAMA UTASOMA ANDIKO HILI, NA LIIKUFIKIE NA KIKUNDI CHAKO, HESHIMA ULOMPA BASHUNGWA WAZIRI WA ULINZI, NI HESHIMA KUBWA KWA KIJANA ,HESHIMA AMBAYO IMEKUZIDI HATA WEWE MWENYEWE NA KIKUNDI CHAKO NA HESHIMA AMBAYO ILIKUA NI YAKO WEWE.

Unarushwa Laivuu na maTV yote, alafu watu hawana habari Nawewe?

Marehem wa miaka miwili, anatizamwa na Mamilioni ya Watanzania, na Bado Hamjishtukii?

Pole sana. Ni Upuuzi ulowajaa enyi Msoga Gang, kuendelea kuukwepa ukweli.

Screenshot_20230318_105438.jpg

Huyu Mtu anaishi ,Amekufa Kiroho tu ila ila Anaishi.

Haya ni Maajabu Ndugu zangu, maajabu kabisa !!

Ingieni YouTube tafuteni Habari ya Kadinali Pengo kutembelea Kaburi la JPM , Channel zote maarufu maarufu Zina watazamaji kuanzia 5K nakuendelea!.

Maajabu ya Mwaka, Rais Samia na Jukwaa lake la Chakula, habari yake, Chukueni channel zote zilizoirusha hiyo habari, alafu jumlisheni idadi ya watazamaji , Bado bado hazifiki hata Channel ya JF ilomuonyesha Kadinali Pengo Kwa JPM .

Wanasiasa Nina waambia, Mwanasiasa atakayehitaji Taifa liwe pamoja naye, ni yule pekee atakayeamua Kumuenzi, kuziheshimu Falsafa za JPM!! Huyu mtu amependwa, alipendwa na ataendelea kupendwa siku zote.

Kujaribu kufuta kila kitu chenye mkono wa JPM, ni ujinga ujinga unaofanywa na wajinga wasojielewa waloupata utawala Kwa bahati bahati tu !!.

Hivi inawezekana vipi, Marehem anapata Watazamaji zaidi ya elfu hamsini, alafu Alite Hai anapata Watazamaji 124 haya ni Maajabu ,ni maajabu hahahahahhahah !!.

RAIS SAMIA SULUHU, KAMA UTASOMA ANDIKO HILI, NA LIIKUFIKIE NA KIKUNDI CHAKO,,,,,, HESHIMA ULOMPA BASHUNGWA WAZIRI WA ULINZI, NI HESHIMA KUBWA KWA KIJANA ,HESHIMA AMBAYO IMEKUZIDI HATA WEWE MWENYEWE NA KIKUNDI CHAKO NA HESHIMA AMBAYO ILIKUA NI YAKO WEWE !!..

Unarushwa Laivuu na maTV yote, alafu watu hawana habari Nawewe??.

Marehem wa miaka miwili, anatizamwa na Mamilioni ya Watanzania, na Bado Hamjishtukii?.

Pole sana !!! Ni Upuuzi ulowajaa enyi Msoga Gang,kuendelea kuukwepa ukweli !!.

View attachment 2556204
Mungu ni mwema naamini Kuna siku hata hawa waliovipofu Sasa Kuna siku wataona uzuri wa J.P.M
 
Marehem anapata Watazamaji zaidi ya elfu 50???

Aliyehai anapata Watazamaji 123 🤣🤣
Ujinga hautaisha, sasa hapo anayefatiliwa ni huyo mungu wenu au ni wafuasi wa kiongozi (Pengo) wao aliye kwenye video.

Yaani nyinyi na ujinga wenu kila anachofanya mtu mnajaribu kukiunganisha na kamungu kenu hako, mmelogwa au ndo mnathibitisha alichosema kamungu kenu kuwa alikuwa haoni kama nyinyi ni watu kama yeye, hii inaweza kuwa aliwaambia ukweli🤔🤔
 
Ujinga hautaisha, sasa hapo anayefatiliwa ni huyo mungu wenu au ni wafuasi wa kiongozi (Pengo) wao aliye kwenye video.

Yaani nyinyi na ujinga wenu kila anachofanya mtu mnajaribu kukiunganisha na kamungu Kent hako, mmelogwa au ndo mnathibitisha alichosema kamungu kenu kuwa alikuwa haoni kama nyinyi ni watu kama yeye, hii inaweza kuwa aliwaambia ukweli🤔🤔
Kwa namna ulivyoandika, we ni kijamaa kinaishi kwao ila kinauwezo wa kupata Bando la Buku mbili Kila siku.

Unaweza kua ni Kanachuo.
 
Huyu Mtu anaishi ,Amekufa Kiroho tu ila ila Anaishi.

Haya ni Maajabu Ndugu zangu, maajabu kabisa !!

Ingieni YouTube tafuteni Habari ya Kadinali Pengo kutembelea Kaburi la JPM , Channel zote maarufu maarufu Zina watazamaji kuanzia 5K nakuendelea!.

Maajabu ya Mwaka, Rais Samia na Jukwaa lake la Chakula, habari yake, Chukueni channel zote zilizoirusha hiyo habari, alafu jumlisheni idadi ya watazamaji , Bado bado hazifiki hata Channel ya JF ilomuonyesha Kadinali Pengo Kwa JPM .

Wanasiasa Nina waambia, Mwanasiasa atakayehitaji Taifa liwe pamoja naye, ni yule pekee atakayeamua Kumuenzi, kuziheshimu Falsafa za JPM!! Huyu mtu amependwa, alipendwa na ataendelea kupendwa siku zote.

Kujaribu kufuta kila kitu chenye mkono wa JPM, ni ujinga ujinga unaofanywa na wajinga wasojielewa waloupata utawala Kwa bahati bahati tu !!.

Hivi inawezekana vipi, Marehem anapata Watazamaji zaidi ya elfu hamsini, alafu Alite Hai anapata Watazamaji 124 🤣 haya ni Maajabu ,ni maajabu hahahahahhahah !!.

RAIS SAMIA SULUHU, KAMA UTASOMA ANDIKO HILI, NA LIIKUFIKIE NA KIKUNDI CHAKO,,,,,, HESHIMA ULOMPA BASHUNGWA WAZIRI WA ULINZI, NI HESHIMA KUBWA KWA KIJANA ,HESHIMA AMBAYO IMEKUZIDI HATA WEWE MWENYEWE NA KIKUNDI CHAKO NA HESHIMA AMBAYO ILIKUA NI YAKO WEWE !!..

Unarushwa Laivuu na maTV yote, alafu watu hawana habari Nawewe??.

Marehem wa miaka miwili, anatizamwa na Mamilioni ya Watanzania, na Bado Hamjishtukii?.

Pole sana !!! Ni Upuuzi ulowajaa enyi Msoga Gang,kuendelea kuukwepa ukweli !!.

View attachment 2556204
Ushasema mwadhama kadinal pengo🙏put a respect on that name
 
Back
Top Bottom